Kuna jamaa kaniamsha usingizini kanikera sanaa

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wana jamvi?
Mchana huu nilipata kausingizi kadogo. Mara kakanijia kandoto katamu sana, nipo maeneo na dada mmoja ambaye ni jirañi yangu tunakula raha. Mzee bila kuchelewa nikaanza kumpapasa jirani huku nikila mate, mambo yakanoga ikabidi tuvunje amri ya sita. Ila nataka kuanza tu jamaa kaja kuniamsha halafu anaomba kitu cha kipuuzi kabisa. Yaani hapa nna hasira balaa ukizingatia mzigo alionao jirani ningefaidi. Kama kuna mtu anaujuzi wa kunisaidia ili niendelee nayo usiku
 
hII

Hii ni Uta Uta mtupu,
 
Back
Top Bottom