donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
hahahahahahWakat wake sisi watanzania huwa huwa tunaenda kwa msimu sasa hiv ni msimu wake
Mwendazake arudie kuwa Rais wakati anachaguliwa sikuwepo nchiniKuna jamaa toka Mbeya anajiita mc mboneke anatrend sana IG na mambo yake ya videos anakimbia huku anajirecord mara anasema, irudiweee.
Nimeshangaa eti saivi kikao mtu anajirecord anamuiga huyu jamaa. What's your take on this?
Jamaa kaja na ubunifu wa aina yake,na wanamuiga kweli,na kashatoka kwao Mbeya yuko DSM kapata mialiko toka kwenye media mbalimbali..kibongobongo tunavyopenda mambo ya "kimasihara" jamaa ndio kashatoboa hivyo.
Wa Piere uliisha ingawa Gwajima alijaribu kuurudishaWakat wake sisi watanzania huwa tunaenda kwa msimu sasa hiv ni msimu wake
[emoji28][emoji28][emoji28]Kuna moja anasema wale alocheza nao kimama mama,wakati ile alikuwa mdogo, waje wacheze tena awanyooshe
Niliona clip moja anaomba vita ya majimaji irudiwe maana ilipiganwa wakati wengine walikua wadogo kipindi hikoKuna moja anasema wale alocheza nao kimama mama,wakati ile alikuwa mdogo, waje wacheze tena awanyooshe
Uchaguzi urudiwe😅Mwendazake arudie kuwa Rais wakati anachaguliwa sikuwepo nchini
Hahahah, daaahSamahan mkuu
Wakati unaanzisha huu uzi mi sikuwepo naomba huu uz! Uludiwe!!
Uludiwe
Wa Piere uliisha ingawa Gwajima alijaribu kuurudisha