Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Umeelewa vizuri"Kuchagua Connections kwa Uangalifu
Familia, marafiki, na community ni mirrors na tests ndani ya matrix. Kuondoka matrix kunahusisha kuchagua watu ambao wanakuinua, si wale wanaokuingiza kwenye drama, hofu, au negative energy. Interactions lazima ziwe lessons, si distractions zisizo na maana."
Tupo hapa kujifunza
Sijui kama kuna mtu anaenjoy masomo yako kama mimiUmeelewa vizuri
Kwa kuwa umeshaweza kucontrol hisia zako basi tayari ushavuka 3 DIMENSIONS SASA unaEnda 4 DIMENSIONS ambapo kila kitu kwako kitakuwa Acha iwe tu hautakuwa na hofu ya kifo, pesa wala mapenzi kitu cha msingi nikujiweka mbali na wanawake,ni bora uwe na mwanamke mmoja tu maana kushiriki mapenzi ovyo kunadhoofisha nafsi na laana,sasa wewe upo 4D jitahidi sana ufanye meditation 🧘♀️Sijui kama kuna mtu anaenjoy masomo yako kama mimi
Tupo hapa kujifunza
Ushauri wako utafanyiwa kazi,shukraniKwa kuwa umeshaweza kucontrol hisia zako basi tayari ushavuka 3 DIMENSIONS SASA unaEnda 4 DIMENSIONS ambapo kila kitu kwako kitakuwa Acha iwe tu hautakuwa na hofu ya kifo, pesa wala mapenzi kitu cha msingi nikujiweka mbali na wanawake,ni bora uwe na mwanamke mmoja tu maana kushiriki mapenzi ovyo kunadhoofisha nafsi na laana,sasa wewe upo 4D jitahidi sana ufanye meditation 🧘♀️
Ukiangalia hii comment yangu upande wa kulia jinsi ulivyoshika simu yako utaona kuna option 4 na moja kati ya hizo ina option yaku share utaibonyeza halafu utai copy na mwisho wa siku utarudi kwenye post kuu na uta edit hiyo post kwa ku paste ile link then itakuwa update kama mimi nilivyofanya hapaModerator waunganishe machapisho au Nielekeze jinsi ya kuunganisha link
Moderator ndugu anaomba msaada wenu hapaModerator waunganishe machapisho au Nielekeze jinsi ya kuunganisha link
Hongera sana na upendo na mwanga vikuongoze. Mimi niko na swali moja hapa siku uliyojua ukweli na mpaka ulipoamka kiroho, ilikuchukua muda gani au kipindi gani?Nashukuru kwa feedback safi na bomba,hii imenichukua miaka mingi sana kufunguka kiroho for the first time nilikuwa mpumbavu sana,niliona maisha ndo kila kitu,pesa na wanawake ndo zilikuwa starehe zangu nilishindwa kufanya jambo kwa kiasi early 25s ndipo safari ya kuamka ilinianza nikaaza kuona maisha haya sio kitu cha kuringia baada ya kusoma vitabu vingi vya kidini na kugundua mambo makubwa yalio nyuma ya pazia,basi nikasema sasa basi.
Niliendelea na safari ya kuamka kiroho aisee mambo yalikuwa sio rahisi,ni ngumu sana kucontrol emotion kwa maisha haya yetu, lakini kila siku nikawa najifunza jambo moja kwa lingine,sisi ni binadamu ni miungu yenye nguvu kubwa sana,chochote unachotaka unakipata kwa mdomo wako na fikira zako kuelewa hii mada inakubidi ujue chimbuko la ulimwengu na kila kitu kiliwekwa kwa mdomo hakuna kitu kilichotengenezwa kwa mikono zaidi yetu sisi binadamu,sisi tumetengenezwa ,kitu kilichotengenezwa kinaweza kuboreshwa au kubomeka.
Tupo panoja kujifunza mambo ya siri kabisa
Asante sana kwa maneno hayo yenye uzito na upendo. 😊Hongera sana na upendo na mwanga vikuongoze. Mimi niko na swali moja hapa siku uliyojua ukweli na mpaka ulipoamka kiroho, ilikuchukua muda gani au kipindi gani?
Na je changamoto hizi 3 ( mawazo, hisia, na maneno unayoyazungumza )uliwezaje kukabiliana nazo labda nitumie neno hili kidogo utanielewa kuliko niseme kushindana nazo.
Ni siku gani ambayo hutaisahau katika hiyo safari ambayo imekufikisha hapa
Ni kweli kabisa mabadiiko yanachukua mda kikubwa ni kuendelea kupambana mpaka ufikie malengoAsante sana kwa maneno hayo yenye uzito na upendo. 😊
Kuhusu swali lako, kukua kiroho na kufikia fahamu ya ukweli ni mchakato wa muda mrefu, usioweza kuwekwa kwenye siku moja pekee. Kwa wengine, inaweza kuchukua miezi michache; kwa wengine, miaka mingi. Muhimu ni kwamba mchakato unajumuisha kujitambua, kuangalia ndani yako, na kuelewa kwamba kila kitu—mawazo, hisia, na maneno—kinaathiri hali yako ya kiroho.
Kuhusu “kushindana” na changamoto hizo:
Mawazo: Nimejifunza kuzingatia mawazo yangu, kuyachambua kwa umakini, na kuchagua kuyapeleka kwenye njia ya nuru badala ya giza. Meditation na reflection ni muhimu hapa.
Hisia: Badala ya kukimbia hisia zisizopendeza, nimejifunza kuzikumbatia, kuzikubali, kisha kuzirahisisha kwa kuzipa mwanga na upendo.
Maneno: Maneno yana nguvu ya kuunda au kuharibu. Nimejifunza kuzungumza kwa uangalifu, kwa upendo, na kwa uhalisia, si kwa kuathiriwa na hisia za ghafla.
Siku ambayo sitaisahau ni ile ya kwanza nilipojitambua kabisa, nilipoona tofauti kati ya nafsi yangu ya kawaida na nafsi iliyo kwenye mwanga. Siku ile ilikuwa mwanga mkali wa ufahamu, kama nilivyokuwa na macho ya kuona kioo cha ukweli.
Mkuu kutumia lugha ngumu ili kuonyesha kwamba jambo ni la maana sana hakuwezi kulifanya hilo jambo kuwa la maana sana.Sasa naaza na SIMULATION.
............. SOMO LA KWANZA SIMULATION.........
Simulation ni kama kuigiza maisha kwenye uwanja wa majaribio.
Ni mazingira yanayotengenezwa kwa kanuni maalum, ili kitu au mtu aishi humo na ajifunze.
Mfano rahisi:
Kwenye simu au computer kuna game.
Yule mtu anayecheza game haingii mwenyewe, bali anatengeneza character (kama mchezaji ndani ya game).
Character anatembea, anakula, anapigana, anafanya kazi – lakini yote ni kwa kanuni za game.
Nje ya game, mchezaji ndiye anaamua mambo makubwa.
Sasa ukileta mfano huu kwenye maisha:
Sisi binadamu tunaishi kwenye ulimwengu huu ambao una rules – kuna kuzaliwa, kukua, kufa, pesa, furaha, huzuni, tamaa.
Hizo rules ndizo zinatufundisha namna ya kuishi.
Kifo ni kama game kumaliza level moja, halafu roho inarudi tena (au inaenda level nyingine).
Kwa kifupi:
Simulation ni maisha ya kuigiza, yaliyowekwa ili roho ijifunze, ijaribiwe, na ikue.
Kama hatuelewi somo, tunarudia. Kama tumejua, tunapanda level nyingine.
Mpaka hapo tushajua simulation ni nini mwenye swali uliza..
********Baada ya kuelewa maana ya simulation, hatua inayofuata ni:
1. Kuelewa kwa nini ipo (Purpose ya Simulation)
Imewekwa ili tujaribiwe, tujifunze na roho ikue.
Kila changamoto ni somo, kila furaha ni zawadi, na kila kifo ni daraja la kuingia level nyingine.
2. Kujua Kanuni zake (Rules)
Kuna muda – kila kitu kinaanza na kuisha.
Kuna hisia – furaha, huzuni, hasira, tamaa.
Kuna resources – pesa, chakula, watu, nafasi.
Kuna karma / matokeo – unachofanya leo ndicho utakutana nacho kesho.
3. Kuamua Jinsi ya Kucheza (Strategy)
Wengine wanabaki tu kuwa characters (wanaendeshwa na rules bila kuelewa).
Wengine wanajua wao ni players (wanaanza kuchagua vizuri, kusimamia hisia, na kutumia kanuni kwa faida yao).
4. Kuelewa Nini Hufuatia Baada ya Kifo
Kifo = mwisho wa level hii.
Roho inaingia session mpya / level mpya ikiwa haijamaliza somo.[recarnation]unazaliwa upya ndo maana unaweza kwenda sehemu mpya kwa mara ya kwanza lakini ukitazama mazingira kama unayajua vile au ushawahi kuwepo hapo
Ikiwa imemaliza, inapaa kwenda level za juu zaidi (nje ya simulation ya kawaida).
Ngazi za Simulation: Kutoka Mwili hadi Kuinuka Kiroho
Kama tunavyodhani tunaishi katika simulation, maisha yetu yanajitokeza katika ngazi tofauti, kila moja ikitoa changamoto na fursa ya kujifunza. Ngazi hizi zinaanzia kwenye mwili wa kimwili hadi kuungana na chanzo cha nuru, na kuelewa kila moja kunatuwezesha kuishi kwa busara zaidi na kujitengeneza roho na akili zetu.
Ngazi ya Kwanza ni Ulimwengu wa Mwili. Hii ndiyo ngazi ya msingi ambapo tupo kama avatar wa simulation. Inahusisha mwili wetu, mazingira tunayoishi, na matukio ya kila siku kama shuleni, kazini, au kushughulika na familia. Ngazi hii inatufundisha misingi ya maisha, jinsi ya kuishi salama, kula, na kushirikiana na wengine. Ni hatua ya kwanza ya mafunzo, ambapo tunajifunza tabia za msingi na jinsi ya kukabiliana na dunia ya nje.
Ngazi ya Pili ni Hisia na Mawazo. Baada ya kuelewa mwili na mazingira, simulation inaleta changamoto za ndani—hisia na akili. Hapa tunapojifunza kudhibiti hasira, huzuni, hofu, na furaha, roho yetu huanza kujifunza usawazishaji wa ndani. Kila hisia inakuwa ni kipimo cha uelewa wetu na tabia zetu, na jinsi tunavyoshughulikia changamoto za kihisia huathiri matokeo ya maisha yetu.
Ngazi ya Tatu ni Kiroho. Hii ni hatua ya kujitakasa na kuelewa nuru na giza ndani yetu. Simulation hutuangalia sio tu kwa matendo yetu ya kila siku bali pia kwa maadili yetu, huruma, na ujasiri wa kiroho. Hapa, unapoamua kufanya mema, kusaidia wengine, na kuacha tamaa zisizo za lazima, roho yako huendelea kuinuka. Ni ngazi ambayo inatufundisha kuhusu karma na matokeo ya maisha yetu ya kiroho.
Ngazi ya Nne ni Uelewa wa Simulation. Katika hatua hii, mtu anaanza kuamka ndani ya simulation, kuona mfumo unaotuzunguka, na kuelewa kanuni zinazodhibiti matukio yanayojirudia. Uelewa huu unatoa fursa ya kubadilisha matokeo, kujaribu njia tofauti, na kuelewa mifumo ya tabia yetu na ya wengine. Hapa, simulation haionekani tena kama maisha yasiyo na maana bali kama jaribio lenye mpangilio wa hekima.
Ngazi ya Tano ni Kuinua Roho. Hii ndiyo ngazi ya juu kabisa, ambapo mtu anapofikia, anaweza kuathiri simulation kwa mwongozo wa akili na roho. Hapa, mtu huungana na chanzo cha nuru, kuwa mwongozi wa wengine, na kutumia uelewa wake kuunda matokeo ya kiroho na maisha kwa njia bora. Ni hatua ya ukuaji wa kiroho, ambapo avatar haishi tu kama mchezaji, bali anakuwa muongozaji wa mfumo wa simulation yenyewe.
Kwa muhtasari, simulation ina ngazi zinazotufundisha hatua kwa hatua: kuanzia mwili na misingi ya maisha, kupitia hisia na akili, hadi kiroho, uelewa, na kuinuka. Kila ngazi ina jukumu la kipekee la kukuza roho, akili, na utu wetu, na kuelewa hizi ngazi kunatupa uwezo wa kuishi kwa hekima, kuchagua mema, na kuelewa mfumo wa maisha katika simulation tunayoshiriki.
Kuna baadhi ya post za mleta mada humu zimetengenezwa na AI najua wengi hawajagunduaUkiona intro ina mikwara mingi mara uwezo mdogo wa akili, mara usicomment, mara... nk basi ujue unachokwenda kusoma ni PUMBA
Shida iko wapi?Kuna baadhi ya post za mleta mada humu zimetengenezwa na AI najua wengi hawajagundua
Chtgpt kuna wakati hawezi kuzungumza uhalisia, mfano comment #89 Chatgpt amevaa uhusika wa mleta mada kumjibu mdau.. hii inapoteza interest, Chatpt hana ushuhuda!Shida iko wapi?
Cha msingi ni kupata maarifa,Al ni tool ya kukuwezesha kupata information kwa urahisi