Itakuwa amecopy aka paste kwenye AI itafsiri kwa Kiswahili halafu akatuporomoshea kama yalivyo, sidhani kama mtu mwenye akili zake anaweza andika vibaya hivi, ni bora mara 100 ungepaste kwa Kiingereza hicho hicho au ukatafsiri mwenyewe kuliko kutumia AI kutafsiri unaonekana wa ajabu sana na primitive, kwa sababu sio kila neno atapata Kiswahili chake mengine ili ulielewe vizuri ni mpaka liwe hivyo hivyo kwa asili yake