Eli Nino au Eli Jua?Hii code ni ngumu sana ila tuombee iwe hivyo tu maana ikitick soon tunakula pilau tena
Soon kuna kitu kinaenda kuhappen
Safari hii habari ninazopewa ni nomaah sema tu naogopa kulishwa matangopori
Simuamini mtu yoyote ile source zangu huwa ni za uhakika
Sio rahisi, Ukisikia Mhimili uliojichimbia ndio huo sasa, Kila mwenye Authority yupo under watch kuangaliwa utilii wake kwa Top seat, Jaribu Uache ndalaIla kati ya yte jeshi letu kweli wamejaa mashoga yni nchi rais yupo eda wanashindwa kuchukua usukani?
Mianamme mizima ipo kma ma toy inaendeshwa na kimama km%%£## zenu
Lini tuliwahi kuwa na vyakula ndani ikiwa mlo mmoja kupata mtiti..!!Umejiuliza transition itakuaje!?
Tutunze chakula ndani