Kuna jambo wanasimba sijui kama mmeliona?

Kuna jambo wanasimba sijui kama mmeliona?

Joined
Feb 13, 2024
Posts
80
Reaction score
204
Salama jamani, leo nawakumbusha tu wazee wa ubaya ubwela ule upinzani wa uwanjani uliokuepo kati ya simba na Yanga ni kama haupo tena, yahani Kwa sasa mpinzani wa Yanga nawezakusema ni Azam na Simba wamebaki kama watani wa jadi tu.

Tangu msimu uliopita battle kubwa ilikua ni kati ya Yanga na Azam kuanzia mbio za ubingwa mechi walizokutana wao kwa wao, fainali ya FA na hata club bingwa wataenda wao.

Msimu huu ngao ya hisani wanaenda kubattle wao na hata ukiangalia mbio za ubingwa bado itakua ni battle ya Yanga na Azam

Ukweli mchungu kwa wanasimba timu bado hamna kama mtajifariji kwa performance mlioionyesha jana na kujificha kwenye kivuli cha kujenga timu ni muda ndio utaongea pindi mtapoanza kukutana na kina KMC, kwani derby nyingi timu hukamiana hivyo kuchukua kama ndio kipimo chenu hilo ni kosa kubwa.

Anyway tusiongee sana nadhani jana mwamuzi kawapunguzia lawama kina mangungu ila ukweli ubao ungewaeza kusoma 4 kwa bila
 
Ubaya ubwelaaaa kazi kwako mchambuzi...
Tumewaachia Azam basi haina shida...
Msije mkaikataa baadae...
 
MCHUKUUE KIBU, MUTALE, DEBORA, NA AWESU AWESU WAWEKE KWENYE BRENDA SAGA KWA DAKIKA MOJA KISHA TIA SHABALALA NA KAPOMBE KIDOGO SAGA TENA KISHA TIA SHABALALA NA KAPOMBE SAGA TENA KISHA TIA MZAMIRU NA MUKWALA KWA MBALI SAGA KIDOGO TENA HALFU WEKA BALUA VIJIKO VIWILI NA FONDO MALONE KIJIKO KIMOJA HALFU KOROGA VIZURI NDIO UNAMPATA PROFESA WA MPIRA PACOME ZOUA ZOUA😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻
 
Back
Top Bottom