Kuna jina halitamkiki Tuzo za Taswa

Kuna jina halitamkiki Tuzo za Taswa

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,615
Reaction score
545
Wadau nimepitia site mbalimbali katika list ya majina ya wanamichezo walioteuliwa tuzo za Taswa eti kuna jina halitamkii, ni jina gani? ni raia wa wapi?
 
hawajalitaja mkuu sijui ni ishu ya maadili au la coz wanasema kuna jina haliwezi kutamkwa

Sasa akishinda watasema aliyeshinda ni yule jina lake halimtamkiki au watamtangazaje?
 
Wadau nimepitia site mbalimbali katika list ya majina ya wanamichezo walioteuliwa tuzo za Taswa eti kuna jina halitamkii, ni jina gani? ni raia wa wapi?

Crap.............
 
Back
Top Bottom