Kuna kamchezo fulani unatumika wachezaji wa timu pinzani kuumiza wachezaji wa Yanga

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Ukijaribu kufatilia kuanzia mechi ya Yanga vs Kmc na leo Yanga vs Pamba Jiji utagundua kuna mkakati wa maksudi kuumiza wachezaji wa Yanga ili tarehe 19/10 Wachezaji wengi wa Yanga wawe majeruhi na Simba ipate angalau mteremko kwwnye mechi ya watani wa jadi.

Benchi la ufundi la Yanga lina kazi ya ziada kuhakikisha linaukwepa mtego huu ambao tayari unaonekana kwa macho ya wazi wazi..
 
Watafutie ligi yao pekee huko avic
 
Hii ni kweli kabisa, lakini kichapo heavy kipo pale pale, Makolo wanajitekenya na kucheka wenyewe
 
Wewe nae umekua kama mchuzi wa ngomani...uko huku mara huku...
Mi sio shabiki oyaoya, Simba waache hii tabia ya kulipa wachezaji wa timu zingine ili waumize wachezaji wa utopolo
 
"UKISHABIKIA SANA SANA SIMBA NA YANGA AUTOMATICALLY KICHWANI ZINAANZA KULEGEA NA KUYEYUKA "
CAPO DELGADO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…