Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Kolo atakuwa anapiga 5*5Tulia kijana. Hilo ndilo Pira Pantev, aka pira Tattoo. Siku likichanganya, hutaamini macho yako.
Huyu ngungu sijui kungunguni ni liability kwenye club ya Simba usimfananishe Mo-dewji na uchafu..tajiri anatoa pesa zake nyingi hivyo lazima apate Sifa..huyu kungunguni wako unayemtetea analeta nini kwenye club ya Simba?zaidi anakuwa Dalali ya kutuletea wachezaji wabovu na kuvujisha siri za Simba kwa yanga.Nyie kweli mbumbumbu Pro max,timu ikifanya vizuri sifa na pongezi zote anapewa Mwamedi kwa kusajili wachezaji kwa hela zake,timu hiyo hiyo na wachezaji hao hao ikifanya vibaya lawama anapewa Ngungus Boy.
Tuondolee uoza na uzwazwa huu. Tuna mambo muhimu na nyeti kujadili juu ya namna ya kumtoa Samuya na KikkwekweHapo vip!
Kuna jambo halipo sawa kwa wachambuzi na wale watu wanaokoments sana kwenye posts mbalimbali zinazo usiana na posts za Simba.
Kutokana na matokeo mabaya ya Simba kwenye club bingwa ni wazi yakwamba kocha anachangia kwa asimia 70 matokeo yale kwasababu:
1.kocha anakurupuka tu anampanga mchezaji namba yeyote hajui kumtumia mchezaji kulingana na ubora wake.
2.Hana first 11 inayoeleweka.
3.kila match anakuja na style tofauti mara asianze na viungo bara asichezeshe straika infact manager ni muhuni asiyekuwa na sifa ya kuifundisha timu kubwa kama Simba.
Nashangaa kocha huyu bado yupo wanamuacha aendelee kuharibu zaidi.
Wanaomtetea
Wengi watakuwa wamepewa rushwa ili wanaposema wamsemeee vizuri.
Wengi wanaopinga kuondoka kwa manager ni mashabiki wa yanga ili abaki pale aendelee kuharibu zaidi...Hivyo hivyo kwa mangungu
Una ushahidi?Huyu ngungu sijui kungunguni ni liability kwenye club ya Simba usimfananishe Mo-dewji na uchafu..tajiri anatoa pesa zake nyingi hivyo lazima apate Sifa..huyu kungunguni wako unayemtetea analeta nini kwenye club ya Simba?zaidi anakuwa Dalali ya kutuletea wachezaji wabovu na kuvujisha siri za Simba kwa yanga.
Simba ina siri zipi ambazo Yanga haizijui? mvujisha siri wenu nambari moja ni AHMED ALLY japo sina hakika kuwa makolo nao wana siri.Huyu ngungu sijui kungunguni ni liability kwenye club ya Simba usimfananishe Mo-dewji na uchafu..tajiri anatoa pesa zake nyingi hivyo lazima apate Sifa..huyu kungunguni wako unayemtetea analeta nini kwenye club ya Simba?zaidi anakuwa Dalali ya kutuletea wachezaji wabovu na kuvujisha siri za Simba kwa yanga.