PreGE2025 Kuna kampeni za ku-unfollow page za wanaopinga mabadiliko, naenda kwa Rais Samia na wote serikalini wanaopinga mabadiliko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hayupo wa kubabaika na vitu nonsense,
wenye dhamana na wajibu wa kuwatumikia waTanzania hawaewzi kamwe kubabaika na vitui useless kama hivyo gentleman
Watanzania wepi hao mnao watumikia? Semq mnatumikia wa zanzibar halafu watanganyika mnawateka na kuwaua mbona ipo wazi
 
NO REFORMS NO ELECTION
 
hizo porojo na drama haziana maana yoyote
Kwa wabinafsi na wasio jali maisha ya wengine wa aina yako ila kwa wenye utu na kujali uhai wa wengine hawezi sema ni porojo wakati watu wana tekwa na ku uawa.
 
Kwa wabinafsi na wasio jali maisha ya wengine wa aina yako ila kwa wenye utu na kujali uhai wa wengine hawezi sema ni porojo wakati watu wana tekwa na ku uawa.
hizo nonsense,
ni drama ambazo hazina maana wala ukweli wowote gentleman
 
the nonsense agenda gentleaman
No reforms, No Election.
We fight against the black colonialists, authoritarian regime and against killings, abductions and disappearances of our fellow countrymen.
We need equal rights for all, electoral reforms that will favor no one.

Chawa, it's more serious than your brains can handle!!
 
gentleman,
elections reforms was done
and, as a country, we are heading for general elections in October this year
 
unafiki na drama bakini nazo huko huko gentleman
Unafiki ni upi hapo?hebu toa ufafanuzi, Kusema watu wanatekwa na kuuawa au unafiki ni kushangilia watanganyika wanao tekwa na kuuawa kinyama
 
No reform no election
 
Wewe ni jinias!
 
Huu sasa ukorofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…