Try UAPHabari wana JF. Naomba kuuliza kama zipo KAMPUNI za bima zinazotoa bima ktk sekta ya kilimo hasa bima ya mazao. Kama zipo, package zao zinakinga Risks zipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Zipo lkn zinakinga majanga ya kiasili zaidi mfano umelima ghafla wadudu waharibifu wakala au kuharibu mimea ya mazao yako wadudu kama Viwavijeshi nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Mueleweshee hapa ili iwe faida ya Wengi kiliko huko PM.Makampuni yapo njoo tukukatie bima multperil insurance inacover yield na majanga asilia. Yield cover ni km umefuata njia bora za kulima lakn umepata mazao pungufu. Npm nikueleweshe zaidi.
Tozo zao zikoje?UAP ni wazuri sana
Kwa nini usitueleweshe wote hapa kupunguza usumbufu wa kuja PM?Makampuni yapo njoo tukukatie bima multperil insurance inacover yield na majanga asilia. Yield cover ni km umefuata njia bora za kulima lakn umepata mazao pungufu. Npm nikueleweshe zaidi.
SUMA JKT pia walitangaza juzi juzi kuwa wamekuja pia na bima ya kilimoHabari wana JF. Naomba kuuliza kama zipo KAMPUNI za bima zinazotoa bima ktk sekta ya kilimo hasa bima ya mazao. Kama zipo, package zao zinakinga Risks zipi?
Sent using Jamii Forums mobile app