Adui wa mzunguko wa pesa kwa mwezi December ni huu upuuzi wa English medium schools. Watu wanakuwa over sensitive na matumizi ili walipie ada mkuu. Siku hizi hata wauza karanga barabarani watoto wao wanapeleka english medium za kaj...mba nani.Nawasalimu Ndugu zangu.
Kuna ka upepo fulani kanapita hapa nchini. Kwa siku napokea simu hadi 10 zinaomba hela.
Mimi mwenyewe najaribu kutafuta pesa ila imekuwa ngumu. Kila mtu analia na hata Biashara hazijachangamka kabisa.
Kipindi cha sikukuu kama hiki manunuzi yamekuwa ya chini kulinganisha na miaka mingine.
Waziri wa fedha najua pesa ziko wapi?. Waziri wa Mipango anasema je?
Je, Nikweli kwamba Vikoba vinaondoa pesa kwenye mzunguko na kuwaacha watu na madeni ya kudumu?
Yatapita tu komaa.Nawasalimu Ndugu zangu.

CCM ni watu wabaya sana. Yaani kakikundi ka watu wachache tu, halafu kanakula karibia nusu ya keki yote ya Taifa. This is not fair at all.