Kuna Kila Dalili CHAUMMA Wameanza kumpuuza Thinktank Wao Waliyemrithi Toka kwa "Mwamba"

Wamemshtukia kuwa hakuwa "thinktank" wa Chama bali wa yule mwamba mfanyabiashara.
Jee wamefanya jambo la maana?
View attachment 3623737
Kesho beba bango lenye maandishi yafuatayo.

Hatuna Nchi nyingine zaidi ya Tanzania.
Tuilinde amani ni mtaji wetu,
Tuitunze,
Tusikilizane,
Tuheshimiane,
Tushikamane
 
Chadema haiitaji think tank, hao think tank peleka CCM.
Chadema ina uhaba wa watu wanaofikiri sawasawa.

Ndio maana wapuuzi kama Hilda na Lema unakuta maujinga yao ndio yanasambazwa mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…