Kuna Kila Dalili CHAUMMA Wameanza kumpuuza Thinktank Wao Waliyemrithi Toka kwa "Mwamba"

Kesho beba bango lenye maandishi yafuatayo.

Hatuna Nchi nyingine zaidi ya Tanzania.
Tuilinde amani ni mtaji wetu,
Tuitunze,
Tusikilizane,
Tuheshimiane,
Tushikamane
Hivi kwa nini sauti ya "tuilinde amani yetu" ni kubwa mno na hatuwasikii kabisa '"tuiheshimu na kuitunza HAKI"?
Kwanini neno HAKI limekuwa gumu mno kutamkwa na viongozi na supporters wa CCM? Hamjui kuwa Amani ni tunda la Haki?
Chunguza nchi zinazoheshimu haki jinsi Amani inavyo jitunza yenyewe!
 
Wahimize HAKI ili kiwarambe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…