johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani hilo hawakuliona muda mrefu.Kwa namna nilivyoisikiliza hotuba ya Rais Samia leo naona ni kama Halima Mdee na wenzake kwa sasa wamekalia kuti kavu.
Ni kwamba Chadema watekeleze matakwa ya demokrasia kwa kusikiliza rufaa za wabunge hao halafu tuone kama Spika Ndugai hatayaheshimu maamuzi yao.
Kazi Iendelee
Ramadhan Kareem!
Kuna wakati kuti kavu huwa halianguki!Nyie mataga si ndio mliokuwa mnashabikia maamuzi ya spika...mliwashikilia Bangor mtasema nyie ndo Bavicha...wateteeni basi.
Hata akikutana anataka wajadili jinsi ya kufanya siasa zenye tija kwa nchi.
Maana yake baada ya kukutana hatutarajii kuwaona akina Lisu wakiponda Atcl, Sgr, bwawa la Nyerere kuwa ni miradi ya hovyo badala yake wataanza kusema hiyo ni miradi ya watanzania.
Kwa akili za kina Mbowe wanahisi mama ataenda kuwaruhusu kufanya maandamano kila siku.
Cha hovyo kitaendelea kuwa hovyo tu. Hata wakakutane mbinguni. Kazi ya upinzani siyo kusifia Atcl cjui ulisoma wapi ndugu yangu.Hata akikutana anataka wajadili jinsi ya kufanya siasa zenye tija kwa nchi.
Maana yake baada ya kukutana hatutarajii kuwaona akina Lisu wakiponda Atcl, Sgr, bwawa la Nyerere kuwa ni miradi ya hovyo badala yake wataanza kusema hiyo ni miradi ya watanzania.
Kwa akili za kina Mbowe wanahisi mama ataenda kuwaruhusu kufanya maandamano kila siku.
Nafikiri Chadema wanamaslahi na ubunge wa kina Mdee kubaki kuwa na utata. Wangeweza kuita Baraza kuu hata kwa mtandao wakawafukuza.Kwa namna nilivyoisikiliza hotuba ya Rais Samia leo naona ni kama Halima Mdee na wenzake kwa sasa wamekalia kuti kavu.
Ni kwamba Chadema watekeleze matakwa ya demokrasia kwa kusikiliza rufaa za wabunge hao halafu tuone kama Spika Ndugai hatayaheshimu maamuzi yao.
Kazi Iendelee
Ramadhan Kareem!