Kuna kila dalili kwamba game ya Kesho Simba inaweza kushinda goli nyingi

Simba hajawahi kumfunga yanga siku ya jumamosi
Acha Imani za ajabu,msimu ulipita gemu ya kwanza makolo walisema hivihivi kuwa yanga hajawahi kushinda gemu siku ya juma pili badala yake akapigwa Kono la nyani.Mpira unamatokeo ya ajabu,subiri dakika tisini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…