Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili mwaka huu CCM inatoka madarakani

Ni kweli watanzania ni wanafiki sana hilo halina ubishi...ukiwekwa uzi wa CCM na raisi wake hapa jf karibia yote itaponda sana...ukienda youtube ukute raisi anazindua kitu utakutana na comment zaidi ya laki kadhaa zote zikiwa zinamsifia raisi na jitihada zake..sasa mpaka mtu unajiuliza wanaoponda humu jf wanatoka nchi gani?? Lakini pia hata mtaan kwnye maisha ya kawaida sijawah kuskia mtu anambeza mwnye nchi lakn ukija humu jf unaweza ukahisi taifa zima linamchukia!! Lakn kiuhalisia hata ukipita sehem yeyote ambayo kuna mradi unaendelea utaskia watu wanavyoshusha mapambio ya kusifu mwnye nchi na sio serikali yake!! Lakn la mwisho kwa watu wanaoongoza kwa unafiki mie nikiri ni upinzani yaan katika kipindi ambacho nilishangaa ni kile cha lowasa na kile cha kumuita mh rais mzee kikwete dhaifu na mtu anaesafirisafiri...akaja jamaa hasafiri na ni mkali kwlkwl bado mnalalamika...nanukuu hotuba ya kikwete akisema "mie mlisema ni mpole ila huyu ni mkali" , mpka leo sijajuaga wapinzani wanamtaka mtu wa namna gani
 
Yaani hata kuchangia mada yako ni ngumu kwani hata hao Chadema hawakuelewi wanaogopa kusema hayo maneno na nadhani uliposema upo Dodoma au upo Milembe hapo dodoma. Najua madaktari watafanya kazi kukusaidia utapona tu ndugu
Bora uwashe zako tv uangalie katoon
 
Wengi hawaamini hili na hawajui litatokea vipi lakini subirini tu mtaona.
fazili
It is true.

Linaloonekana machoni kwa binadamu kuwa ni "impossible" kwa Mungu linawezekana kwa urahisi sana................

Ni nani alijua kama Rais wa Malawi ataondoka madarakani pamoja na vifaru na magari ya washawasha yaliyomzunguka?

Ndiyo tujifunze somo zuri sana hapo, kuwa hatuna sababu za "kujimwambafai"
 
CCM = Chama Chenye Madaraka, kwa mfumo wa sasa hakuna wakuipokonya CCM madaraka.
 
Nitachinja na
 
Kunywa maji basi.
Unaongea weeee huchoki.
 
Inaonekana umeandika hisia zako zaidi kuliko ukweli ungeijua ccm usingezungumzia kina kabudi kuwa rais ccm hata kama hawampendi rais humwacha amalize kipindi chake baada ya hapo ngoma inaanza magufuli asitegemee ataacha mrithi wa mayakwa yake
 
Huu ni uchambuzi uchwara.
 
Mmh ngoja tuone ila nina amini ndani ya CCM kuna wengi wasiomkubali ila kila mmoja anaogopa kupoteza ugali wake na nina amini Nape,January na wengineo waliokua kinyume nae watakatwa mchana kweupee.
 
Kitendo cha kututajia kuwa;
Dotto James atakuwa waziri, Kalemani atakuwa Waziri Mkuu na Prof. Kabudi atakuwa rais tiyari nishaona taarifa za uongo.
Ngoja niendelee kuamini kuwa CCM ni watu wa siri mpaka sasa. Nani alijua Lowassa atatemwa? Nani alijua Magufuli ndiye atagombea? Nani alijua kuwa Lowassa atarudi CCM? Nani alijua Dr. Slaa atahama CHADEMA na kujiunga CCM kuwa balozi? Nani alijua kwamba Membe atafukuzwa namna ile?

Hata hili la kutoa fomu moja tu ya kugombe hatukulijua kabisa, lilitokea kwa kushtukiza. Kama hayo tu yalitushinda, tutawezaje kujua rais anayefata baada ya Magufuli.
 
Unapoishi Tanzania unatakiwa kuwa makini sana, maana nchi hii nahisi huenda zaidi ya 99% ya raia wake ni wanafiki wa kiwango cha PhD. Hapa kwetu unafiki ni ibada.......
 
wahi MILEMBE ukatibiwe
 
Mmh ngoja tuone ila nina amini ndani ya CCM kuna wengi wasiomkubali ila kila mmoja anaogopa kupoteza ugali wake na nina amini Nape,January na wengineo waliokua kinyume nae watakatwa mchana kweupee.
Term ya pili ndio watu huonyesha rangi zao halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…