Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili mwaka huu CCM inatoka madarakani

😊☺ Hutu tu post kutoka ufipa tunafurahisha sana
 
sijasoma vizuri ila nahisi una ota Ndoto za mchana.
 
Dah.... Sijui umepata wapi ujasiri wa kuandika jibarua lote hili halafu halimake sense
 
Duh..
Ktk kipindi ambacho naona upinzani hawana chansi ni kipindi hiki...
 
kapime akili nahisi una mapungufu mahali 😂😂
 
Kila mtu yuko huru kufanya chochote anachoona kinapendezavmachoni pake ili mladi asivunje sheria za nchi. Kwa hivyo hata mtoa post ametimiza wajibu wake kulingana na mawazo yake.
 
Hata mimi nina maono kama yako mkuu kuna jambo linakuja ambalo litawacha wana ccm midomo wazi
 
Jiandaeni mkaende lupango maana myafanyayo yanahifadhiwa
Unawaza, unauliza maswali halafu unajijibu mwenyewe!

Ulichokifanya Waingereza huita "hallucination".

Tanzania kuna vituko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…