Kuna kila dalili penzi la Paula na RayVanny litapitia wakati mgumu sana

Kuna kila dalili penzi la Paula na RayVanny litapitia wakati mgumu sana

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Sio rahs Kwa Rayvanny kupitia njia aliyoipitia Diamond , kuna watu kuwa kwenye mahusiano na kuacha kwao sio tatizo , Ila kuna wengine sio kaz rahisi, kuna wengine ukishamhaidi binti utakuwa naye na yeye akawaza hvyo kwako na akakupenda aisee kumwacha sio kazi rahsi na utalipa Gharama kubwa Sana usipoangalia ( note: sio Gharama ya pesa )

Thus why kuna watu unaweza kusema mbna jamaa kaoa bint mbovu kama Yule aisee , wengi watakuambia amemmpenda lakini huwa kuna Siri kubwa Sana , wengi hujarbu ili kutimiza tamaa za mwili lakini wadada hukaza na kung'ang'ania Kwa Gharama iwayo yote Ile mwisho wa sku mwamba anaamua kusanda na kuamua kuoa.

Fahyvan anapitia wakati mgumu usioelezeka , anampenda Rayvanny , kibaya zaidi bado ni mdogo na inavyoonekana anapenda show off , na Rayvanny ndo alikuwa mtu sahihi sababu Rayvanny anaandamwa na camera kitu ambacho Fyvanny anapenda kuliko ...

Fayvanny anaonekana kuzidiwa na stress, only matter of time , akili yake haijakubali kile kinachoonekana sasa.

Kwa mda alikaa kimya , hata hvyo kuwekana wazi Kwa Paula na Rayvanny , kuliibua mashambulizi zaidi ya kihsia kwake , Kwa mda alijitokeza kukemea mahusiano fake aliyokuwa anahusishwa nayo na sasa ameibuka na na picha mbalimbali zenye ujumbe Tata ndani yake , zingine akiwa na bastola ( Alama ya vita ) , na zingine akiwa na mavazi yenye rangi ya chui akionyesha yeye ni sehemu ya chui, jina ambalo Ex wake analitumia kisanaa.

Mwanamke akili yake haijaumbwa kuhandle pressure kubwa , mara nyingi Jambo zito likimuandama atafanya kila njia inayowezekana kuliweka Sawa , iwe njia halali au sio..!! Kwake poa Tu,

Sijajua Paula na Rayvanny wamependana Kias gani kuweza kuvuka changamoto zinazokuja mbeleni , Ila ni suala la mda tu, sote tutafurahi ..!!!

HAWARA HANA TALAKA🤣

20210807195507_1.jpg

20210807195451_0.jpg
20210807195423_1.jpg
 
Sio rahs Kwa Rayvanny kupitia njia aliyoipitia Diamond , kuna watu kuwa kwenye mahusiano na kuacha kwao sio tatizo , Ila kuna wengine sio kaz rahs, kuna wengine ukishamhaidi binti utakuwa naye na yeye akawaza hvyo kwako na akakupenda aisee kumwacha sio kazi rahsi na utalipa Gharama kubwa Sana usipoangalia ( note: sio Gharama ya pesa )

Thus why kuna watu unaweza kusema mbna jamaa kaoa bint mbovu kama Yule aisee , wengi watakuambia amemmpenda lakini huwa kuna Siri kubwa Sana , wengi hujarbu ili kutimiza tamaa za mwili lakini wadada hukaza na kung'ang'ania Kwa Gharama iwayo yote Ile mwisho wa sku mwamba anaamua kusanda na kuamua kuoa.

Fahyvan anapitia wakati mgumu usioelezeka , anampenda Rayvanny , kibaya zaidi bado ni mdogo na inavyoonekana anapenda show off , na Rayvanny ndo alikuwa mtu sahihi sababu Rayvanny anaandamwa na camera kitu ambacho Fyvanny anapenda kuliko ...

Fayvanny anaonekana kuzidiwa na stress , only matter of time , akili yake haijakubali kile kinachoonekana sasa.....

Kwa mda alikaa kimya , hata hvyo kuwekana wazi Kwa Paula na Rayvanny , kuliibua mashambulizi zaidi ya kihsia kwake , Kwa mda alijitokeza kukemea mahusiano fake aliyokuwa anahusishwa nayo na sasa ameibuka na na picha mbalimbali zenye ujumbe Tata ndani yake , zingine akiwa na bastola ( Alama ya vita ) , na zingine akiwa na mavazi yenye rangi ya chui akionyesha yeye ni sehemu ya chui, jina ambalo Ex wake analitumia kisanaa....!!!

Mwanamke akili yake haijaumbwa kuhandle pressure kubwa , mara nyingi Jambo zito likimuandama atafanya kila njia inayowezekana kuliweka Sawa , iwe njia halali au sio..!! Kwake poa Tu,

Sijajua Paula na Rayvanny wamependana Kias gani kuweza kuvuka changamoto zinazokuja mbeleni , Ila ni suala la mda tu, sote tutafurahi ..!!!

HAWARA HANA TALAKA[emoji1787]

View attachment 1884430

View attachment 1884432View attachment 1884433
.
IMG_20210807_183349.jpg
 
Back
Top Bottom