Kuna kila dalili Pep Gudiola kupanga matokeo ili kumrahisishia kijana wake Arteta kwenye mbio za ubingwa

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Inaonekana Pep Gudiola amekinai ubingwa wa Epl kwasababu amechukua mara nne ndani ya miaka mitano

Pep kinachombakisha Manchester city ni aibu ya kuondoka bila kuchukua kombe la Uefa
Amebaki kwasababu hiyo na possibly anaweza asibebe

Sasa turudi kwenye uzi

Ukiangalia kiufundi mechi za ligi alizopoteza

Brentford L
Everton D
Aston villa D

Ukiangalia kiufundi hizi mechi gardiola alipanga matokeo nafasi ya kushinda alikuwa nayo lakini kimkakati aliwaambia wachezaji wa relax

Alizidharau hizi mechi unajua kwanini alizidharau mwanzoni ili kumtengenezea gap arteta na kumuondolea presha ya kukaa pale juu

Ukitaka kuamini hili angalia mechi inayofuata dhidi ya arsenal na manchester city kwenye FA

Manchester city atashinda kirahisi kwasababu Pep ataitaka mechi

Ila kwenye ligi arsenal ana mechi mbili dhidi ya manchester city

Probably manchester city anaweza kumwachia kijana wake achukue point nne
Meaan arsenal ashinde moja na sare

Pep Gudiola hawezi kujubali manchester united achukue ubingwa anaona bora amwachie kocha arteta

Ndio maana alivyofungwa na manchester united ilimuuma sana kwasababu malengo ya kuntengenezea arteta kulikuwa kunsingia mchanga

Epl iwachunguze hawa makocha if possible wafukuzwe uingereza kwa kujaribu kuchafua ligi

How possible on Earth timu mbovu iongoze ligi to date

No no haiwezekani huu ujinga tusiuvumilie tupige kelele
 
Kwa hiyo hata Manchester utd alivyofungwa na Arsenal jana, guardiola ndiye amepanga matokeo?

Ninyi ndiyo mliosema FIFA ilimbeba Messi achukue kombe la dunia
 
Inaonekana Pep Gudiola amekinai ubingwa wa Epl kwasababu amechukua mara nne ndani ya miaka mitano

Pep kinachombakisha Manchester city ni aibu ya kuondoka bila kuchukua kombe la Uefa
Amebaki kwasababu hiyo na possibly anaweza asibebe

Sasa turudi kwenye uzi

Ukiangalia kiufundi mechi za ligi alizopoteza

Brentford L
Everton D
Aston villa D

Ukiangalia kiufundi hizi mechi gardiola alipanga matokeo nafasi ya kushinda alikuwa nayo lakini kimkakati aliwaambia wachezaji wa relax

Alizidharau hizi mechi unajua kwanini alizidharau mwanzoni ili kumtengenezea gap arteta na kumuondolea presha ya kukaa pale juu

Ukitaka kuamini hili angalia mechi inayofuata dhidi ya arsenal na manchester city kwenye FA

Manchester city atashinda kirahisi kwasababu Pep ataitaka mechi

Ila kwenye ligi arsenal ana mechi mbili dhidi ya manchester city

Probably manchester city anaweza kumwachia kijana wake achukue point nne
Meaan arsenal ashinde moja na sare

Pep Gudiola hawezi kujubali manchester united achukue ubingwa anaona bora amwachie kocha arteta

Ndio maana alivyofungwa na manchester united ilimuuma sana kwasababu malengo ya kuntengenezea arteta kulikuwa kunsingia mchanga

Epl iwachunguze hawa makocha if possible wafukuzwe uingereza kwa kujaribu kuchafua ligi

How possible on Earth timu mbovu iongoze ligi to date

No no haiwezekani huu ujinga tusiuvumilie tupige kelele

Kamuuzia wachezaji wazuri kina zichenko kwa bei ya ofa.

Ingekuwa man utd wanamtaka zichenko wangekataliwa kuuziwa ama wangepigwa bei kubwa washindwe kununua
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukifuata Logic mambo mengi yatakuwa hayakusumbui kwa maneno uliyoleta hapo huoni kwamba matokeo ya Arsenal City Msimu huu yasingekuwa kama unavyosema ?

Saturday 01 January 2022
Emirates Stadium, London
Arsenal

1-2

Man City
 
Inaonekana Pep Gudiola amekinai ubingwa wa Epl kwasababu amechukua mara nne ndani ya miaka mitano

Pep kinachombakisha Manchester city ni aibu ya kuondoka bila kuchukua kombe la Uefa
Amebaki kwasababu hiyo na possibly anaweza asibebe

Sasa turudi kwenye uzi

Ukiangalia kiufundi mechi za ligi alizopoteza

Brentford L
Everton D
Aston villa D

Ukiangalia kiufundi hizi mechi gardiola alipanga matokeo nafasi ya kushinda alikuwa nayo lakini kimkakati aliwaambia wachezaji wa relax

Alizidharau hizi mechi unajua kwanini alizidharau mwanzoni ili kumtengenezea gap arteta na kumuondolea presha ya kukaa pale juu

Ukitaka kuamini hili angalia mechi inayofuata dhidi ya arsenal na manchester city kwenye FA

Manchester city atashinda kirahisi kwasababu Pep ataitaka mechi

Ila kwenye ligi arsenal ana mechi mbili dhidi ya manchester city

Probably manchester city anaweza kumwachia kijana wake achukue point nne
Meaan arsenal ashinde moja na sare

Pep Gudiola hawezi kujubali manchester united achukue ubingwa anaona bora amwachie kocha arteta

Ndio maana alivyofungwa na manchester united ilimuuma sana kwasababu malengo ya kuntengenezea arteta kulikuwa kunsingia mchanga

Epl iwachunguze hawa makocha if possible wafukuzwe uingereza kwa kujaribu kuchafua ligi

How possible on Earth timu mbovu iongoze ligi to date

No no haiwezekani huu ujinga tusiuvumilie tupige kelele
We ghost huna points zero IQ
 
Back
Top Bottom