Kuna kila dalili simba kupigwa kanzu kwenye dili la manzoki

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Kuna mambo yanaendelea kimya kimya yanaweza yasiwafurahishe mashabiki wa simba lakini Mpira ni pesa na pesa ni sabuni ya roho,,tujipe muda
 
Tatizo Simba wanataka wamchukue Manzoki free kitu ambacho hakiwezekani, mtu ni top score na kabeba tuzo zaidi ya 4 msimu huu.

Tukubali kutoa hela wanayotaka jamaa mambo yasiwe mengi.
 
SIMBA sio waropokaji bali mambo yao hufanya kimyakimya na kwa usiri mkubwa sana . zile ramli kwenye jezi zimeisha kwa aibu kubwa
Ngoja waendelee kufanya mambo kimya kimya, kwenye usajili kuna siri? Nyie tulieni ivyo ivyo na ukimya wenu
 
Tatizo Simba wanataka wamchukue Manzoki free kitu ambacho hakiwezekani, mtu ni top score na kabeba tuzo zaidi ya 4 msimu huu.

Tukubali kutoa hela wanayotaka jamaa mambo yasiwe mengi.
Wamsubili dirisha dogo Kama atakuwepo wamchukue bure wanavyotaka🤣🤣🤣 inawezekana wao tu ndo wanamtaka🤣🤣🤣🤣
 
Tatizo Simba wanataka wamchukue Manzoki free kitu ambacho hakiwezekani, mtu ni top score na kabeba tuzo zaidi ya 4 msimu huu.

Tukubali kutoa hela wanayotaka jamaa mambo yasiwe mengi.
Mtu kabakisha miezi 2 mkataba uishe halafu tulipe $200,000?
Option zipo nyingi anaweza akaja dirisha dogo mkataba wake ukiisha au tukamchukua kama tulivyofanya kwa mosess phiri
 
Ngoja waendelee kufanya mambo kimya kimya, kwenye usajili kuna siri? Nyie tulieni ivyo ivyo na ukimya wenu
Tunweza tukamsajili kama tulivyofanya kwa moses phiri akabaki vipers united hadi msimu uishe akaja unyamani option zipo nyingi
 
Kwahiyo Vipers wamewaonyesha Uto panapovuja na kuwashauri wamchukue Manzoki?

Wamepoteza imani kwa 'domo kaya' Aziz Ki, Biringanya na Joyce? Tatizo Uto mnapenda sana sifa za kijinga.
 
Tunweza tukamsajili kama tulivyofanya kwa moses phiri akabaki vipers united hadi msimu uishe akaja unyamani option zipo nyingi
Mnamsajilije na mmekosa pesa ya kuvunja mkataba wake? Nani anakusubili upate vya mserereko na wakati wanaomuhitaji ni wengi, vipers sio wajinga Kama unavyofikiria
 
Tatizo Simba wanataka wamchukue Manzoki free kitu ambacho hakiwezekani, mtu ni top score na kabeba tuzo zaidi ya 4 msimu huu.

Tukubali kutoa hela wanayotaka jamaa mambo yasiwe mengi.
Sio kwa pesa hiyo wanayoitaka, mchezaji anaipenda simba na kasema wazi wazi, ila vipers wanataka kuikomoa simba.

Simba itakuwepo bila hata Manzoki. Yaan miezi miwili afu wanataka zaidi ya 400m serious?? Khaaaah
 
Mnamsajilije na mmekosa pesa ya kuvunja mkataba wake? Nani anakusubili upate vya mserereko na wakati wanaomuhitaji ni wengi, vipers sio wajinga Kama unavyofikiria
Nyie Yanga si mna pesa. Hata kesho mumchukue tyuuh.
 
Ndio Simba Ina Hela lakini sio za kuharibu...

Dogo mwenyewe anaipenda simba ngoja mkataba uishe aje free
 
Mnamsajilije na mmekosa pesa ya kuvunja mkataba wake? Nani anakusubili upate vya mserereko na wakati wanaomuhitaji ni wengi, vipers sio wajinga Kama unavyofikiria
Kwani moses phiri tulimpataje? Walipokuja kucheza na utoh kwenye tamasha lao tukampa pre contract
 
Back
Top Bottom