The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Mi kama mtumiaji mzuri wa sukari wa siku nyingi kuna Kila dalili Sukari ya
Siku hizi imepunguziwa ladha.
Matokeo Yake ili ikolee unahitaji kutumia sukari nyingi kitu kinachopelekea gharama za matumizi ya Sukari kuongezeka.
Sukari inayopatikana Kwa wingi ni kilombero, huu unaweza ni mkakati wa kibiashara ili waweze kuuza sukari Zaidi. Sijajua ni Mimi tu au Hata wengine mmeshaliona