The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Poleni ambao bado mnatumia sukari, Ni vyema kupunguza au kuacha kabisa matumizi ya sukari, ni hatari kwa afyaMatokeo Yake ili ikolee unahitaji kutumia sukari nyingi kitu kinachopelekea gharama za matumizi ya Sukari kuongezeka.
Masikini weweMi kama mtumiaji mzuri wa sukari wa siku nyingi kuna Kila dalili Sukari ya
Siku hizi imepunguziwa ladha.
Matokeo Yake ili ikolee unahitaji kutumia sukari nyingi kitu kinachopelekea gharama za matumizi ya Sukari kuongezeka.
Sukari inayopatikana Kwa wingi ni kilombero, huu unaweza ni mkakati wa kibiashara ili waweze kuuza sukari Zaidi. Sijajua ni Mimi tu au Hata wengine mmeshaliona
Mi nikienda Kwa dokta anaeeza kusema nina upungufu wa sukari. Kwa hiyo kwangu matumizi ya sukari siyo issue.Poleni ambao bado mnatumia sukari, Ni vyema kupunguza au kuacha kabisa matumizi ya sukari, ni hatari kwa afya
Asali yenyewe Bongo inatengenezwa kwa sukari, ndio inaingizwa sokoni.Kuleni Asali WATANZANIA.
Tumieni asali Ina faida Lukuki.
Sio sukari tu, hata soda wamepunguza sukari, Coca-Cola ya zamani utamu wake sio sawa na Coca-Cola ya Sasa, ya siku hizi haina utamu kabisa, wanataka ifanane na Coca-Cola ziro!Mi kama mtumiaji mzuri wa sukari wa siku nyingi kuna Kila dalili Sukari ya
Siku hizi imepunguziwa ladha.
Matokeo Yake ili ikolee unahitaji kutumia sukari nyingi kitu kinachopelekea gharama za matumizi ya Sukari kuongezeka.
Sukari inayopatikana Kwa wingi ni kilombero, huu unaweza ni mkakati wa kibiashara ili waweze kuuza sukari Zaidi. Sijajua ni Mimi tu au Hata wengine mmeshaliona
Asali nayo ukiitumia Kwa wingi ina madhara zsidiUkiweka Sukari na chumvi mimi nitachagua chumvi, sukari inatumika kwenye anasa tu. Mkuu nunua Asali achana na sukari.
Afu watu wanshindwa kuelewa point yangu, kupunguza matumizi ya sukari ni suala la Mtu binafsi siyo la kiwanda.Sio sukari tu, hata soda wamepunguza sukari, Coca-Cola ya zamani utamu wake sio sawa na Coca-Cola ya Sasa, ya siku hizi haina utamu kabisa, wanataka ifanane na Coca-Cola ziro!
HAsa za paketiiMi kama mtumiaji mzuri wa sukari wa siku nyingi kuna Kila dalili Sukari ya
Siku hizi imepunguziwa ladha.
Matokeo Yake ili ikolee unahitaji kutumia sukari nyingi kitu kinachopelekea gharama za matumizi ya Sukari kuongezeka.
Sukari inayopatikana Kwa wingi ni kilombero, huu unaweza ni mkakati wa kibiashara ili waweze kuuza sukari Zaidi. Sijajua ni Mimi tu au Hata wengine mmeshaliona
Ukiweka Sukari na chumvi mimi nitachagua chumvi, sukari inatumika kwenye anasa tu. Mkuu nunua Asali achana na sukari.
YesHAsa za paketii
Ingekuwa amri yangu hata viwànda vya sukari vingefungwa tu, haina faida yoyote.Mi kama mtumiaji mzuri wa sukari wa siku nyingi kuna Kila dalili Sukari ya
Siku hizi imepunguziwa ladha.
Matokeo Yake ili ikolee unahitaji kutumia sukari nyingi kitu kinachopelekea gharama za matumizi ya Sukari kuongezeka.
Sukari inayopatikana Kwa wingi ni kilombero, huu unaweza ni mkakati wa kibiashara ili waweze kuuza sukari Zaidi. Sijajua ni Mimi tu au Hata wengine mmeshaliona
Da yaani wewe Kwa akili yako unaona mimi siwezi kumudu Kununua Sukari.? Kwa hIyo ubora ukiwa sufuri we bora liende.Daah mzee wangu itakua uwanja umeinama sana kwako mpk ukagundua hii kitu,me pia ni mtumiaji wa sukari in daily basis na naish kwny kipimo na sijakutana na hiyo changamoto