KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Naona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo:
Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake.
Pili, watu watachoka kuona Ruzuku inatumika kufanyia siasa za upotoshaji badala ya kutumika kuujenga mfumo bora wa kisiasa.
Pengine naona hawataona hakuna umuhimu kabisa wa vyama kupokea ruzuku na badala yake Ruzuku ielekezwe kwenye huduma za kijamii na maendeleo ya Taifa.