KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Acha unaa,kama ni mtu utakuwa wewe unayewaonea Gere,kwa jinsi wanavyo wasulubu chawa wa 🍀 na waajiri wao🏃🏃🏃Naona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo:
Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake.
Pili, watu watachoka kuona Ruzuku inatumika kufanyia siasa za upotoshaji badala ya kutumika kuujenga mfumo bora wa kisiasa.
Pengine naona hawataona hakuna umuhimu kabisa wa vyama kupokea ruzuku na badala yake Ruzuku ielekezwe kwenye huduma za kijamii na maendeleo ya Taifa.
Sio akafanye special audit, bali akaishi kabisa hapo hapo kwenye ofisi za cdm, lakini ukweli lazima utaendelea kuwekwa wazi. Kama taarifa za CAG zingekuwa na maana hivyo, ripoti ya CAG ya msimu huu isingewekwa pending.Naona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo:
Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake.
Pili, watu watachoka kuona Ruzuku inatumika kufanyia siasa za upotoshaji badala ya kutumika kuujenga mfumo bora wa kisiasa.
Pengine naona hawataona hakuna umuhimu kabisa wa vyama kupokea ruzuku na badala yake Ruzuku ielekezwe kwenye huduma za kijamii na maendeleo ya Taifa.
Ruzuku ni Kodi kama Kodi nyingine, matumizi yasiyofaa ni ubadhirifuKwani hiyo ruzuku ipo kwa mujibu wa Sheria, ama mujibu wa huruma? Na ni Nani anayeamua matumizi yake?
CCM sio hata watakaotaka ukaguzi maalumu ni wanaCHADEMA wenyeweSio akafanye special audit, bali akaishi kabisa hapo hapo kwenye ofisi za cdm, lakini ukweli lazima utaendelea kuwekwa wazi. Kama taarifa za CAG zingekuwa na maana hivyo, ripoti ya CAG ya msimu huu isingewekwa pending.
CDM wasiachie, washikilie hapo hapo maana wafuasi wa chama la majizi wameanza vitisho. Magufuli alitumia mbinu hii hii 2020 lakini aliishia kupora uchaguzi
Vipi matumizi ya chawa,🍀😀Ruzuku ni Kodi kama Kodi nyingine, matumizi yasiyofaa ni ubadhirifu
Matumizi yanayofaa ya ruzuku ni matumizi gani? Na yasiyofaa ni matumizi gani?Ruzuku ni Kodi kama Kodi nyingine, matumizi yasiyofaa ni ubadhirifu
Kwahiyo watu wanapenda kuwaona chawa wakizagaa kwenye miradi ya kitaifa wakidai pesa ametoa mama Samia! Hapana.Naona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo:
Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake.
Pili, watu watachoka kuona Ruzuku inatumika kufanyia siasa za upotoshaji badala ya kutumika kuujenga mfumo bora wa kisiasa.
Pengine naona hawataona hakuna umuhimu kabisa wa vyama kupokea ruzuku na badala yake Ruzuku ielekezwe kwenye huduma za kijamii na maendeleo ya Taifa.
Wewe ni shoga eeNaona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo:
Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake.
Pili, watu watachoka kuona Ruzuku inatumika kufanyia siasa za upotoshaji badala ya kutumika kuujenga mfumo bora wa kisiasa.
Pengine naona hawataona hakuna umuhimu kabisa wa vyama kupokea ruzuku na badala yake Ruzuku ielekezwe kwenye huduma za kijamii na maendeleo ya Taifa.
Yaani watu wakapoteze muda kuhoji ruzuku wanayoipata CHADEMA, ambayo ni kama 10% ya ile inayoliwa na CCM bila ya kuwa na faida yoyote!!Naona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo:
Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake.
Pili, watu watachoka kuona Ruzuku inatumika kufanyia siasa za upotoshaji badala ya kutumika kuujenga mfumo bora wa kisiasa.
Pengine naona hawataona hakuna umuhimu kabisa wa vyama kupokea ruzuku na badala yake Ruzuku ielekezwe kwenye huduma za kijamii na maendeleo ya Taifa.
Kuna mamb kadhaa CCM hawataki CDM wapate even if yapo kisheria!! Yaan kila jamb linatafutiwa sababu imagine mikutano tu inawekera mnataman isiwepo milele!! Akili kama za ujima kama Taifa tuna safar ndefu san. Lilikua sakata la uhakiki mali za CCM kipind kile ilikua mshikemshike!! NB; Sipati laiti CDM ndio wangekua wanatawala halafu ufisadi kukicha na kila mwaka cjui ingekuaje!!!Naona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo:
Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake.
Pili, watu watachoka kuona Ruzuku inatumika kufanyia siasa za upotoshaji badala ya kutumika kuujenga mfumo bora wa kisiasa.
Pengine naona hawataona hakuna umuhimu kabisa wa vyama kupokea ruzuku na badala yake Ruzuku ielekezwe kwenye huduma za kijamii na maendeleo ya Taifa.
Hebu tuzione hizi daliliNaona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo:
Mfano wa mambo yasiyo ya msingi ni yapi?Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake.
Umepotoshwa kwa lipi?Pili, watu watachoka kuona Ruzuku inatumika kufanyia siasa za upotoshaji
Unaelewa ☝️☝️hata unachokisema kweli wewe? Huo "mfumo Bora wa kisiasa" unajengwaje eti? Na hiki kinachoendelea kufanywa sasa na CHADEMA ktk ziara zao wewe unadhani ni kitu gani? Wanajenga barabara siyo?badala ya kutumika kuujenga mfumo bora wa kisiasa.
Hivi wewe unajua CCM wanapokea shilingi ngapi kwa mwezi kama ruzuku yao? Ni zaidi ya bulioni 3.5!!??Pengine naona hawataona hakuna umuhimu kabisa wa vyama kupokea ruzuku na badala yake Ruzuku ielekezwe kwenye huduma za kijamii na maendeleo ya Taifa.
CCM wanavuta kwa mwezi zaidi ya 3BYaani watu wakapoteze muda kuhoji ruzuku wanayoipata CHADEMA, ambayo ni kama 10% ya ile inayoliwa na CCM bila ya kuwa na faida yoyote!!
Ni afadhali ruzuku ya CHADEMA inatumika kuelimisha watu, kuliko CCM wanaotumia ruzuku kuwapumbaza wananchi na kuwalipa wanaotetea uporwaji wa bandari.
Wewe Chadema lazima ikuletee kisukari msimu huuNaona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo:
Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake.
Pili, watu watachoka kuona Ruzuku inatumika kufanyia siasa za upotoshaji badala ya kutumika kuujenga mfumo bora wa kisiasa.
Pengine naona hawataona hakuna umuhimu kabisa wa vyama kupokea ruzuku na badala yake Ruzuku ielekezwe kwenye huduma za kijamii na maendeleo ya Taifa.
Ungeaanza na CCM kwanza.Naona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo: