Kuna kila ishara kwamba wazee ndani ya CCM hawaheshimiki na wala hawahitajiki

Kuna kila ishara kwamba wazee ndani ya CCM hawaheshimiki na wala hawahitajiki

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Habarini,

Kuna namna CCM haina mfumo wa kuwatumia malegend wake katika forums/majukwaa na haina forums za kuwatumia Wastaafu wake kiushauri.

Katokana na hali inayojirudia kwa Mzee Paul Kimiti amekuwa mwenye kutoa mawazo yake kila akipata fursa ya kutoa neno.

Kwa namna ya utoaji maoni wake kuna kila ishara ya kwamba wazee ndani ya CCM hawaheshimiki na wala hawahitajiki hivyo wapatapo fursa ya kutoa maoni huvaa nafsi na mdomo wa panya wenye sifa ya kuuma na kupuliza.

Tutashuhudia mengi sana kwenye Bio za wafu waluoishi na kukaa sana mtini hasa miti ya juu hapa duniani.

Acha inyeshe mawingu yapate utulivu.


Wadiz
 
Back
Top Bottom