Wewe Kitila acha porojo. Nenda kwenye kina kirefu mfuate mamba akumeze.Sio kwa sababu ya Prof. Kitila na Dk. Mwigulu kutenganishwa, hapana. Kuna sababu ya Jimbo hili kugawanywa kwani hata baada ya Iramba Mashariki kufanywa Mkalama bado Jimbo la Iramba ni kuwa kuliko majimbo yote ya Mkoa wa Singida kufanywa Jimbo moja tu.
Wanaouhusika tafadhali hebu angalieni namna ya kuligawa hili kwani ni kubwa sana!
Makao makuu yawe Kyalosangi!Kweli kabisa kuwe na Jimbo la Kinampanda
Makao makuu yawe Kyalosangi!