Kuna kila viashiria Israel kufanya mashambulizi dhidi ya Iran leo Oktoba 4, 2024

State Propaganda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
542
Reaction score
1,286
Kuna tetesi za kiintelijensia zisemazo kuwa utawala wa Kizayuni umepanga kufanya shambulio la makombora dhidi ya viongozi wa serikali ya Jamuuri ya Kiisalam wa Iran waoongozwa na Himam Ayatollah Khamenei leo ijumaa kwa kuwavizia wakiwa misikitini.

IMG_20241004_111059.jpg
 
View attachment 3114886
Nani mwenye nguvu katiya Israel na Iran? Kama Iran ana nguvu zaidi, basi hakuna mashanmbulizi and vice versa
 
Hawezi kushambulia wakiwa ibadani anajua ataamsha hisia za kidini.
Atampiga Khomenei akiwa na mkewe Mansoureh Khojasteh. Bagherzadeh wakiwa kitandani wakifurahia tendo
Afu ndani ya handaki
 
Kupiga bomu msikitini, shule, hosptali au ktk huduma za jamii kama vyanzo vya umeme, bandari, au visima vya mafuta ni kuwapatisha tabu raia wa kawaida, israel mara nyingi anakuwa anakosea sana

apige kambi za jeshi au waweke uwanja wa vita watwangane jeshi kwa jeshi
 
Hawa Wairani wamemchokoza Israeli mtoa roho, sasa wasubirie majibu yake
 
Kuna tetesi za kiintelijensia zisemazo kuwa utawala wa Kizayuni umepanga kufanya shambulio la makombora dhidi ya viongozi wa serikali ya Jamuuri ya Kiisalam wa Iran waoongozwa na Himam Ayatollah Khamenei leo ijumaa kwa kuwavizia wakiwa misikitini.

Hilo hawawezi kulifanya hadi baba yao MAREKANI aruhusu. Jana Biden kasema wameikataza Israel kujibu mashambuli bila kuruhusiwa na MAREKANI.
 
Back
Top Bottom