State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Nani mwenye nguvu katiya Israel na Iran? Kama Iran ana nguvu zaidi, basi hakuna mashanmbulizi and vice versaKuna tetesi za kiintelijensia zisemazo kuwa utawala wa Kizayuni umepanga kufanya shambulio la makombora dhidi ya viongozi wa serikali ya Jamuuri ya Kiisalam wa Iran waoongozwa na Himam Ayatollah Khamenei leo ijumaa kwa kuwavizia wakiwa misikitini.
View attachment 3114886
Afu ndani ya handakiHawezi kushambulia wakiwa ibadani anajua ataamsha hisia za kidini.
Atampiga Khomenei akiwa na mkewe Mansoureh Khojasteh. Bagherzadeh wakiwa kitandani wakifurahia tendo
Hilo hawawezi kulifanya hadi baba yao MAREKANI aruhusu. Jana Biden kasema wameikataza Israel kujibu mashambuli bila kuruhusiwa na MAREKANI.Kuna tetesi za kiintelijensia zisemazo kuwa utawala wa Kizayuni umepanga kufanya shambulio la makombora dhidi ya viongozi wa serikali ya Jamuuri ya Kiisalam wa Iran waoongozwa na Himam Ayatollah Khamenei leo ijumaa kwa kuwavizia wakiwa misikitini.