State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Inaaminika siku za kuishi Zelensky zinakaribia kufika ukingoni. Anasema mchambuzi mwandamizi wa maswala ya kivita na siasa za kimataifa Scott Ritter, ambaye nijasusi mstaafu wa US.
Ritter anafafanua zaidi na kusema kuna kila dalili Zelensky atafia mikononi mwa magerali wake.
Ritter anaendelea kusema Majenerali hao ndio watao muhukumu adhabu ya kifo na wao ndio watakaoitekeleza.
Pia soma: LIVE - Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Kwa sasa uhusiano baina ya amiri jeshi mkuu huyo na viongozi waandamizi katika jeshi la Ukraini akiwemo mkuu wa majeshi Valery Zaluzhny upo katika hali mbaya, hali inayoweza kupelekea jeshi kuasi.