Kuna kilevi kinaitwa ZANZI huwa kinapendwa sana na wanawake

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Kwa mujibu wa wanawake wanasema kina ladha ya maziwa na wakinywa huwa inaelekea mojamoja kwa moja mpaka kwenye papuchi na kusababisha hamu kubwa ya kwichikwichi na huwa wanahisi raha sana pindi wafanyapo mapenzi wakiwa wamekunywa ZANZI

Source:Wanawake na wadada wa mjini
 
sasa unywe pombe halafu ikimbilie kwenye papuchi jamani mbona maajabu

mwalimu wangu aliniambia ukila au kunywa kitu kinakimbilia tumboni

labda mtaala umebadilika wacha nirudi tena shule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hehehehhehe inapitia wapi mpaka ifike huko?inapita tumboni au kuna mrija mwingineo?
 
kamjaribishe mkeo zen utuletee mrejesho

waiter zungusha [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
sasa unywe pombe halafu ikimbilie kwenye papuchi jamani mbona maajabu

mwalimu wangu aliniambia ukila au kunywa kitu kinakimbilia tumboni

labda mtaala umebadilika wacha nirudi tena shule
Hahahhh yan ww kwakutoka nje ya mada
 
hii biology ya chato ni noma pombe inaenda kwenye mbunye a.k.a papuchi badala ya kwenda tumboni
 
Kuna mdada mmoja akinywa hiyo zanzi huwa anachekacheka saanaaa... kila neno anacheeeeeekaaaa.... sasa sijui huwa inakimbilia kwenye bandama...
 
sasa unywe pombe halafu ikimbilie kwenye papuchi jamani mbona maajabu

mwalimu wangu aliniambia ukila au kunywa kitu kinakimbilia tumboni

labda mtaala umebadilika wacha nirudi tena shule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…