Kuna Kitu Hakiko Sawa Pale Simba SC

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Kuna tatizo kubwa sana pale ndani.

Yes! Barbara amesema “Everything is OK” lakini ameisema ili kuepusha upepo mbaya masikioni pa mashabiki wa soka.

Deep down in her heart kuna kitu hajafurahishwa nacho. Ilikuwa atangaze kuiachia nafasi kwa kisingizio kuwa anaenda nchi ya mbali kufanya kazi fulani. Baada ya kujifikiria akaamua kuhairisha jaribio la kuachia kiti.

Pesa tamuuu wewe asikwambie mtu. Madam wenu ameamua kuendelea kufanya kazi lakini bado atafanya kazi na watu ambao bado ana chuki nao. Yes atapaswa kufanya kazi kwa karibu na Kassim.

Si mnajua tabia yake ya chuki, visasi na majivuni? Ndio basi hakuna jambo litafanyika kwa manufaa bali ni suala la kujionyesha na kujithibitishia kuwa mimi ni bora kuliko wewe.

Jambo kubwa zaidi ni saga ya Bernard Morrison. Hahaha CEO bhana, ana mambo mengi mno huyu bi mdashi.

Anyway acha niingie kitandani sasa niwaachie muda wa kumeng’enya machache haya ila ile klabu ina mambo ya siri sana kama alivyo jisemea Bernard Morrison mwenyewe [emoji23][emoji23]

“Tumia Akili, Usitumie Uloto Wa Ugoko Kufikiri”
 
Na wewe una gubu! Nimefuatilia post zako nyingi, ni kuiongelea vibaya Simba tu! Mmeshachukua ubingwa, haujaridhika tuuuu?
 
Simba acheni majungu ya kitoto tena ya mwaka 1947!tokea klabu hii ifungwe na Yanga kombe la ASAF bao moja kila kukicha washabiki wanatunga majungu ya kumtukana barbara gonzarel. yaani wao kufungwa na Yanga basi kila kiongozi hafai, mara kumtimua kocha, mara ngumi zinakuja, mara mambo hayaendi sawa klabuni.

jamani bao moja tuu kutoka kwa mtani wako ambaye msimu huu yupo gado linakuhuzunisha namna hii mpaka klabu ifikie mahala pa kuwa nyata nyekundu nyingine! kueni simba achana na utoto!
 
Wewe bila shaka ni mwanaume unaetumikia kijinsia ya kike kwa kutumia kinyeo!unaokoteza maneno ya barabarani na kuleta humu sijui hamnaga kazi za kufanya!!
 
Hiki chuo chenu cha kuzalisha wajinga kinafanya kazi sana wajinga mnaongezeka kwa kasi sana
 
Kassim Dewji mnafiki, yeye ndie mvurugaji, kauli yake ya hovyo aliyoitoa siku za karibuni kuhusu Barbra kwamba ndie anawaburuza wajumbe wa Simba SC ililenga kuleta mvurugano klabuni, bahati nzuri ilipuuzwa.

Lazima ufike wakati tuache mpira wetu uendeshwe kisasa, hawa wazee waliozoea fitna za mwaka 47 wawapishe kizazi kipya kilete mabadiliko yatakayotupeleka kushindana na vigogo wa Afrika, wao walishindwa na fitna zao za kumfunga mtani tu.
 
Babra ni fagio la chuma Yule mwanamke, ngoja aondoe hawa waswahili ili nasisi tufikie levels za Al ahly
 
Wacha Babra afanye kazi acha nongwa wewe chura
 
Ni nani aliyempa barua Morrison akapumzike?
Ni nani aliyemkwaza Chama hadi akasingiziwa eti ana majeruhi?
Unadhani timu haimuhitaji Morrison?

Je unadhani kesho hatakosana na mchezaji mwingine muhimu na kumletea chuki za kike?

Je ni kwa nini wachezaji walicheza bila morali ya ushindi?Je ni kweli ni kwa sababu wamezoea ubingwa kiasi kwamba hawana hamu nao?

Kama ni ubingwa ni nani aliyechukua ubingwa mara nyingi bara?Je wachezaji unadhani hawaoni deni la kuhakikisha wanaongeza makombe eti tu kwa sababu wamezoea kushinda?

Kuweni ni akili japo kidogo
 
Ni makosa makubwa kuwa na kiongozi mwanamke katika club ya soka yoyote.

Kama ni kosa Simba walifanya ni kukubaliana na huu ujinga,mi mwenyewe mwanzo niliukubali na ninaomba radhi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…