Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Kwanini Mkuu? au ukilewa(ga) huwa unajisahau na kuanza kuwasimanga Wanajeshi kwamba ni midoli?ππKwa kutaja Kwako tu kuwa ipo Jirani na JWTZ niseme tu ukweli kuwa sitoweza Kuja Mkuu na Asante kwa Ofa yako.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
[emoji850]Kujiamini kulikopitiliza + Dharau + Furaha = Kutokuamini kwa Kitakachotokea leo kwa Mkapa.
Zawadi yako umechukua?Kujiamini kulikopitiliza + Dharau + Furaha = Kutokuamini kwa Kitakachotokea leo kwa Mkapa.
[emoji23][emoji23][emoji23] Oya cookie mzeeHuyo ndio GENTAMYCINE
Nini kimekufurahisha?[emoji23][emoji23][emoji23] Oya cookie mzee
Naona unamsifia popoma ππNini kimekufurahisha?
Yeah Mkuu Cookie na hakuna Mwingine.Huyo ndio GENTAMYCINE
Kama natabiri Mambo mapema tu na yanatokea unadhani sistahili Sifa / hizo Sifa Mkuu?Naona unamsifia popoma ππ
Sijui nani kashinda njaa mkuu [emoji848]Uganda labda washinde Njaa
Nimuachie nani?Zawadi yako umechukua?
Modearator na wewe umekuwa chawa ?Huyo ndio GENTAMYCINE
Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kasungura ..Kama natabiri Mambo mapema tu na yanatokea unadhani sistahili Sifa / hizo Sifa Mkuu?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Mama anaupiga mwingi sana [emoji16][emoji16]Kujiamini kulikopitiliza + Dharau + Furaha = Kutokuamini kwa Kitakachotokea leo kwa Mkapa.
Ngoja nibaki na Simba yangu tu.Sijui nani kashinda njaa mkuu [emoji848]
GENTAMYCINEKalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kasungura ..
Naona unamsifia popoma ππNini kimekufurahisha?