kuna kiwanja kingine kinauzwa mbande dar es salaam karibu karibu kabisa na azam complex

njechere

Member
Joined
Nov 7, 2013
Posts
14
Reaction score
0
kuna kiwanja kingine kinauzwa karibu na azam complex.kiwanja kipo kwenye mtaa unaopitika na gari hadi kiwanjani, huduma zote muhimu zipo umeme ,maji, kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa 20 kwa mtu anayeijua mita vizuri ameshanielewa. Bei ni sh milioni 13 maongezi yapo. Kwa mawasiliano wasiliana nami 0716822166 au 0783298957 wahi uje kukiona.
 
Hiyo Bei ya kiwanja au nyumba.
hizo ni mita za kawaida sana.
Kimepimwa na serikali kwa upande wa wizara au ni hati ya Serikali za mitaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…