Kuna KlabunIliyowahi Kufuzu Next Stage Ikiwa na Game Mkononi?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Kuna timu inajikongoja kila mashindano.

Leo.imefunzwa namna ya kifuzu kibabe, kufuzu kibabe ni kufuzu ukiwa umebakiza mechi moja mkononi.

Hii rekodi inashikiriwa na wanajangwani pekee.

Vunjeni kama nyie vidume.

Halafu tunaenda kutinga nusu kibabe huku mkiishia robo (kama ilivyo kawaida yenu).
 
Walikua wanapiga kelele za waarabu wakazimwa, wakahamia robo fainali nayo wamezimwa sahivi sijui watasaka chaka lipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…