iron woman
Senior Member
- Apr 22, 2013
- 147
- 19
Jamani naombeni msaada wa mawazo nina dogo wa kiume kamaliza form four halafu kapata zero sasa kwa akili yake hata nikisema a reseat sidhani kama atatoka sasa nifanyake wandugu naona kumuacha tu nyumbani nitampoteza.
Msaada kama kuna kozi naweza mpeleka hata akatumia cheti cha la saba. Tafadhali
Msaada kama kuna kozi naweza mpeleka hata akatumia cheti cha la saba. Tafadhali