Kuna kozi kwa aliefeli kidato cha nne?

iron woman

Senior Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
147
Reaction score
19
Jamani naombeni msaada wa mawazo nina dogo wa kiume kamaliza form four halafu kapata zero sasa kwa akili yake hata nikisema a reseat sidhani kama atatoka sasa nifanyake wandugu naona kumuacha tu nyumbani nitampoteza.
Msaada kama kuna kozi naweza mpeleka hata akatumia cheti cha la saba. Tafadhali
 
mhh huyo nae hajielew..muulize yeye mwenyewe anataka nn kwanza then ndio uamue..chuo cha ufundi kama veta nadhan kinamfaa sana
 
saiv kuna kitu kinaitwa foundation, hii ni maalumu kwa kuwaanda wanafunz wasiyo na vgezo kupata vigezo vya kufanya koz mbal(2)
 
sasa ndugu tzhumoally wanachukua kwa veta kwa cheti cha la saba??naona hata tabu kumuuliza maana hajielewi ila yeye yuko radhi kusoma popote
 
saiv kuna kitu kinaitwa foundation, hii ni maalumu kwa kuwaanda wanafunz wasiyo na vgezo kupata vigezo vya kufanya koz mbal(2)

hiyo inakuwaje na inapatikana ktk institution zipi?
 

Huyo ushampoteza sio utampoteza.
Cha muhimu sasa ni kuanza kumtafuta

Ashawahi kufikilia biashara ? Kama ndio muwezeshe ila kama bado, anza kumuandaa kisaikoloji aipende biashara, then mupatie mtaji na muongozo.

Hakika atafanikiwa. Ni unatakiwa ucheze na ubongo wake tu kumueka sawa

Kumbuka mtoto hachapwi, ananyimwa chakula
 
Mpeleke ajifunze kazi za ufundi kwa vitendo. Huyo vya darasani vimemkataa. Ajifunze Welding, au ujenzi, kupaua majengo, alumuminiums & grill windows etc. Vitamsadia kujikimu kimaisha.
 

asante kwa ushauri ngoja niufanyie kazi
ila hapo nina kazi yaziada kwakweli
 

Naunga mkono wazo la kumpeleka veta japo yafaa umuulize kwanza anapenda aina gani ya ufundi.
 
asanteni sana wadau ngoja sasa niyafanyie kazi mliyonishauri.
 

Veta inahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…