Kuna Kustaafu Kwa Hiyari, Kustaafu Kwa Mujibu wa Sheria na Kustaafu Kwa Manufaa ya Umma. Mojawapo hapo ndio Siku hizi inaitwa Kujiuzulu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mtumishi wa Umma anapaswa Kustaafu Kwa lazima yaani Kwa mujibu wa sheria afikishapo umri wa miaka 60 na KADA nyingine miaka 65

Kustaafu Kwa hiyari ni kuanzia miaka 55

Na unaweza Kustaafu/Kustaafishwa Kwa Manufaa ya Umma bila kujali umri

Unaweza kujifunza zaidi Kwa case study ya Laigwanan Lowassa na Mzee Ndugai

Ahsanteni sana 😃
 
Kushindwa au kutimuliwa napo kunaitwa kujiuzulu
 
Yes. Kupuliza kuzima, kupuliza kupoza na kupuliza kuchochea
 
Wamemsitahi tu kumwachia vimiezi vichache vilivyo baki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…