Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Leo nipo Dukani walikuja watu kuni hamasisha nikajiandikishe kupiga kula. Pale Dukani kulikua na watu wengi ila majibu ya baadhi ya watu.
Walisema " Nikajiandikishe Ili iweje wakati Uchaguzi wenyewe matokeo mshayapanga, siwezi kupoteza mda wangu, au kuchomwa na Jua"
Mtu mwingine akajibu " Kachukue Familia yako ijiandike wao to wakipiga kula inatosha" Mwingine akasema bora mda wa kusimama kwenye Foleni nikafanye mambo yangu, maana wao Tayari Wana Maisha.
Kwa majibu hayo machache Niliona kama Hawa watu Hawana Imani na wanachokifanya pia wanaona kama wanachofanya hakina Faida.
Kuna mtu mmoja alisema ukiona Mtu anaangaika na hayo mambo anapata Faida. na pesa ya kula na familia yake.
Pesa hapatati utaangaika kuawatangazia watu au kutembea mitaani kama hivi bila kupata Faida, wao wanafaida na wanachofanya hiyo piki piki wanayobebea watu kwenda kujiandikisha inatembea Bure.
Kwa mtazamo wangu ni kama watu wamekata tamaa na hawaoni Faida ya Uchaguzi Vijana wengi Hawana muitikio wa kujiandikisha kupiga kula.