Wrong kwa visiwani nadhani ni tangu 1995. Kihistoria hawa jamaa walikuwa wakienda na ASP, waliingia kwa mkono wa TANU chini ya Nyerere bila ya kushinda kwenye sanduku la kura.TUME ITENDE HAKI.WANANCHI WAMEAMUA KUIONDOA CCM TANGU 2000
"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.Humjui Seif wewe!
2017 alizunguka zunguka huko ulaya, aliporudi akasema atakabidhiwa nchi yake ya Zanzibar ndani ya miezi 3.
Mpka leo, Seif anangojea miezi 3
Hao ni wananchi gani unaowasema jomba..mbona wananchi kwa maelfu na malaki wanahudhuria mikutano ya CCM kila pembe ya nchi...kote bara na visiwani. Bora useme Kama mna ajenda nyingine kutoka nje ya nchi kwa hao weume zenu mtuambie ili nasisi wananchi wazalendo tujiandae kuwakabili...namimi nawaambia serikali Wala isihangaike na hivi vijitu uchwara, hao Ni saizi yetu tuachieni tutaonana mitaani.. walahi niwaambie tutafundishana adabuTUME ITENDE HAKI.WANANCHI WAMEAMUA KUIONDOA CCM TANGU 2000
Katiba yenu inaruhusu kubaka ushindi, that is why Kiongozi aliye kuwa anaanza kuheshimika kama samia ameongea utumbo."Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tazama maelfu ya watoto wa shule za msingi waliopo hapa.Hao ni wananchi gani unaowasema jomba..mbona wananchi kwa maelfu na malaki wanahudhuria mikutano ya CCM kila pembe ya nchi...kote bara na visiwani...Bora useme Kama mna ajenda nyingine kutoka nje ya nchi kwa hao weume zenu mtuambie ili nasisi wananchi wazalendo tujiandae kuwakabili...namimi nawaambia serikali Wala isihangaike na hivi vijitu uchwara, hao Ni saizi yetu tuachieni tutaonana mitaani.. walahi niwaambie tutafundishana adabu
NOTE:Humjui Seif wewe!
2017 alizunguka zunguka huko ulaya, aliporudi akasema atakabidhiwa nchi yake ya Zanzibar ndani ya miezi 3.
Mpaka leo, Seif anangojea miezi 3
Kwa halii hii mtajiju.View attachment 1607147Hao ni wananchi gani unaowasema jomba..mbona wananchi kwa maelfu na malaki wanahudhuria mikutano ya CCM kila pembe ya nchi...kote bara na visiwani. Bora useme Kama mna ajenda nyingine kutoka nje ya nchi kwa hao weume zenu mtuambie ili nasisi wananchi wazalendo tujiandae kuwakabili...namimi nawaambia serikali Wala isihangaike na hivi vijitu uchwara, hao Ni saizi yetu tuachieni tutaonana mitaani.. walahi niwaambie tutafundishana adabu
E ti wanapelekq viti viwe mbalimbali waonekane wengi.Tazama maelfu ya watoto wa shule za msingi waliopo hapa.
View attachment 1606748
Sahihi kabisaWrong kwa visiwani nadhani ni tangu 1995. Kihistoria hawa jamaa walikuwa wakienda na ASP, waliingia kwa mkono wa TANU chini ya Nyerere bila ya kushinda kwenye sanduku la kura.
Ukisikia wanasema nchi hii haikupatikana kwa vikaratasi, basi ufahamu watakuwa wanajakusudia walipindua. Hawafahamu kabisa neno demokrasia.