Kwa haya yanaondelea hakuna mskitini wala kanisani mkasema kutakuwa na usalama na sehemu ambazo zitakuwa zinawindwa na kuwekewa maaskari ni zile nyumba za ibada ambazo zinaeleza mwenendo wa nchi swala utekaji na uwongozi usiopenda wananchi.
Tarajieni kuona mabunduki na silaha nzito pamoja na mbwa wakiwa wanazingira nyumba za ibada kuanzia sasa.
Nyumba hizo za ibada ni zile ambazo raisi samia anapishana nao.
Mpaka ifike wakati Kila stendi,Kila soko, Kila kituo cha bodaboda, Kila kijiwe, Kila mahala penye mkusanyiko wa watu hata wawili pawe na askari. Lazima tuitetee dola ya CCM kwa nguvu yeyote ile