Kuna madhara gani kuchanganya Kuku wa kroila na aina nyingine za kuku?

Kuna madhara gani kuchanganya Kuku wa kroila na aina nyingine za kuku?

Mnetukwetu

Member
Joined
Dec 1, 2018
Posts
7
Reaction score
0
Nataka kuingia kuanza ufugaji wa Kuku aina ya kroila ila tayari nina Kuku wa kienyeji kama 15 na kanga 22.Swali
1. Kuna madhara gani ya kuchanganya Kuku wa kroila na wa kienyeji?
2. Kuna mafhara ya kuchanhanya kanga na Kuku?
3. Hatua za kufuata Kama zipo.
Majibu kwa wataalamu.
 
Mbona ushachanganya kanga na kuku? Sasa tukuulize wewe madhala gani umeona
 
Back
Top Bottom