Kuna madhara gani kuweka kitu cha moto kwenye friji

Kuna madhara gani kuweka kitu cha moto kwenye friji

NANGA WA DEPO

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
917
Reaction score
1,201
Hususan chakula kama wali au chai ili ipoe kidogo? Maana yake ndio zangu kama nina haraka. Kuna madhara gani kuweka kitu cha moto kwa friji?
 
Hususan chakula
Kama wali au Chai ili ipoe kidogo.

Manake ndo zangu kama nina haraka.

Kuna madhara gani kuweka kitu cha moto kwa friji.?
Haitaharibika ila matumizi ya umeme yatakuwa makubwa bure. Ndio sababu kubwa, nyingine ni uwezekano wa joto kupanda ndani ya friji na kusababisha vitu vingine vilivyomo kupata joto.
 
Kwanza kitu cha moto kinaongeza joto ndani ya friji na kusababisha ile sensor ione joto lipo juu na na kusababisha compressor izunguke muda mrefu na kuichosha comoressor na kula umeme mwingi.

Kitu cha moto kinatoa mvuke mwingi ambao unasababisha unyevu mwingi sana ndani ya friji ambao matokeo yake inasababisha barafu nyingi sana.
 
Kwanza kitu cha moto kinaongeza joto ndani ya friji na kusababisha ile sensor ione joto lipo juu na na kusababisha compressor izunguke muda mrefu na kuichosha comoressor na kula umeme mwingi.

Kitu cha moto kinatoa mvuke mwingi ambao unasababisha unyevu mwingi sana ndani ya friji ambao matokeo yake inasababisha barafu nyingi sana
Asante
 
Kwahiyo ww ukishamaliza kuchmsha chai unaiweka tena kwenye frij ili ipoe alaf ndo unakunywa?

Kwel nimeamin Kuna watu wanasababisha wavuta bangi tuonekane hatuna maana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom