Kuna madhara gani mwanamke akinyoa nywele za ukeni kwa kutumia 'Magic'?

Shmaider

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
406
Reaction score
120
Naomba msaada maana mwenza wangu analazimisha nimnunulie magic ashevie nywele za ukeni lakini mimi napatwa na wasi wasi nahisi labda anaweza kupata madhara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilishampa ONYO mke wangu kamwe asinyoe hizo nywele kwani ndio raha yangu...huwa nazipunguza tu kidogo ili zisimsumbue wakati wa kuvaa nguo ya ndani (wakati mwingine zikiwa ndefu sana zinasababisha abanwe na chupi)

Na hadi kwao wanajua kuwa akinyoa tu ni TALAKA inamhusu.

Hata hapa JF nilishaelezea kuwa nilitaka kumtaliki kwasababu hiyo.

Mwanamke mtu mzima ananyoa huko anakuwa kama mtoto mdogo, Stupid!

Mimi wakwangu mara ya mwisho kumnyoa ni mwaka 2014 karibia kabisa na Christmas...sasa ni ndefu hadi zinavutia ila ni SAFI na yeye pia ni msafi.

Raha ya eneo hilo upatafute kwa tochi.

Msimamo wangu ni ule ule.
 
Mmmmh hii ni kali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…