Kuna madhara gani mwanamke akinyoa nywele za ukeni kwa kutumia 'Magic'?

Hivi ni wapi mimi nilijitanabaisha wokovu?

Kwenye post ipi?

hahha had nikakutaja bas jua niikusoma sehem tena ukatirirka na vitabu vya dini ukaorodhesha wacha watu waunge tela!anyways sipend kuhumu !nisije hukumiwa na mm ! lakin comment yako ina ukakasi sana
 
Ni sawa sio mbaya...na nimefurahia kuniwazia hivyo ila bado hujaniambia ni katika thread ipi?

Halafu kuna kitu gani cha kipuuzi (cha dhambi) ambacho nimekiandika hapa?

Pls nioneshe.
 
mh hapana aisee !nimeisahau ni uzi upi mkuu !uliandika na vitabu vya dini na ukasema wewe umeokoka ukasema hutak kujishughulisha na vitu vya dunia umewekeza mbinguni ! labda ni mm tu naiona ina ukakasi ! PEACE
 
Hahahaha......! I wish ingekuwa hivyo.

Okay...goodtime.
 
Mkuu haya maneno yakiambatana na picha yatakolea zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…