Kuna madhara gani mwanamke akinyoa nywele za ukeni kwa kutumia 'Magic'?


Pole dada. Wapo wengi hapa.
 
Vipele vinatokea kwa sababu huna pattern ya kunyoa, nadhani ngozi ina pattern fulani kutegemea na musuli uliyonayo.
Suala la pattern ya misuli lipo hata watati wa kuchoma sindano kama hutazingatia utapata madhara. Angalia zilivyo nyasi bandia kwanja cha mpira, nyoa vile hutapata madhara. Naamini hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 



hiv wewe si kuna sehem ulisema umeokoka!??? hhha huwa nakufatiia lakini najikuta njia panda ! dah haya !
 
Nakupongeza sana kwa kuzingatia maadili, upo makini. Papuchi inaonwa na mteule wako au daktari inapobidi na si ya kuiweka bayana. Keep it up!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo tunapenda nywele hizo za sirini.Papuchi kipara haina mvuto.
 
Hahaha....hebu niambie unanionaje?


mie nikishasikia mtu anajitanabaisha mwokovu kwakwei macomments ya kipuuzi huwa simtegemei kbs !huwa nakuangalia kwa jicho TAKATIFU ZAID! lakini nakosa utakatifu kwako !
 
mie nikishasikia mtu anajitanabaisha mwokovu kwakwei macomments ya kipuuzi huwa simtegemei kbs !huwa nakuangalia kwa jicho TAKATIFU ZAID! lakini nakosa utakatifu kwako !
Hivi ni wapi mimi nilijitanabaisha wokovu?

Kwenye post ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…