Duh,Samsung Galaxy S22 ultra ambayo mara ya mwisho imepokea system update mwaka jana huku ikitarajiwa kutokupokea tena security updates ifikapo 2027.
Feature wise short term hakuna, long term kuna apps na programs hazitafanya KAZI.Kama kichwa cha uzi hapo juu kinavyoelezea, tuchukulie mfano simu ya Samsung Galaxy S22 ultra ambayo mara ya mwisho imepokea system update mwaka jana huku ikitarajiwa kutokupokea tena security updates ifikapo 2027.
Je simu kama hiyo na nyingine nyingi zisizopokea updates tena zina effects gani kwenye matumizi ya simu ya kila siku?
Chief-Mkwawa na wengine wengi
So kwa S22 Ultra kuanzia hiyo 2027 haitakuwa na shida sana hata nikiweka vitu vya maana?Feature wise short term hakuna, long term kuna apps na programs hazitafanya KAZI.
Security ni Muhimu zaidi sema kama simu yako haina mambo ya maana pia haikuathiri sana, Sana Sana maybe ukipata malware uta reset Tu simu.
Kwa S22 labda ukae nayo miaka 5 ama zaidi toka sasa, otherwise Tumia Tu enjoy simu yako.
So vipi kwa hizi simu ambazo zishakuwa outdated?Jibu rahisi ni kwamba, technology inabadilika. Simu ni hardware kwa hiyo ikishatengenezwa baasi huwezi kuiupgrade tena. Ila software kila siku zinakua updated na madeveloper.
Kwa hiyo new software kuanzia kwenye Operating system haziwezi kuingia kwenye kwenye old phone architecture. Kwa hiyo ni simu mpya zenye new architecture ndio zitapokea pia new Os plus new applications.
Because manufacture wa simu no longer supports model hiyoDuh,
Kwanini haipokei updates?
S22 bado ina receive updatesUnataka kusema kuwa kwa wanaotumia hiyo simu S22 kwa sasa app kama Whatsapp hawatumii na kama wanatumia je mwisho wa kutumia itakuwa lini? Maana software update ya mwisho wamepata 2025
Inategemea mkuu, ujue haya mambo ya security hayana uhakika, inaweza fika hio 2027 kukatoea security hole na simu yako ikawa wazi kupigwa matukio ama lisitokee kitu ikakaa miaka na miaka.So kwa S22 Ultra kuanzia hiyo 2027 haitakuwa na shida sana hata nikiweka vitu vya maana?
Kama kichwa cha uzi hapo juu kinavyoelezea, tuchukulie mfano simu ya Samsung Galaxy S22 ultra ambayo mara ya mwisho imepokea system update mwaka jana huku ikitarajiwa kutokupokea tena security updates ifikapo 2027.
Je simu kama hiyo na nyingine nyingi zisizopokea updates tena zina effects gani kwenye matumizi ya simu ya kila siku?
Chief-Mkwawa na wengine wengi
๐Planet Data bundles was HereKama kichwa cha uzi hapo juu kinavyoelezea, tuchukulie mfano simu ya Samsung Galaxy S22 ultra ambayo mara ya mwisho imepokea system update mwaka jana huku ikitarajiwa kutokupokea tena security updates ifikapo 2027.
Je simu kama hiyo na nyingine nyingi zisizopokea updates tena zina effects gani kwenye matumizi ya simu ya kila siku?
Chief-Mkwawa na wengine wengi
Hapa naweza kusema Kuna makundi Mawili ya watu
1. Wanaokwenda na Wakati na
2. Kikubwa tutumie
Hivyo mfano wa hiyo simu ya Samsung Galaxy S22 Series ambayo yenyewe ilitoka mwaka 2022 ilipotoka ilikua imepewq update ya miaka 5 kwenye miaka 4 wanapata update ya Android upgrade ila kwa miaka hiyo 5 wanapata security update
Sasa kundi la kwanza ikiwa kipindi kile wananunua walikua wanaamini wataweza kwenda na wakati kupitia Feature mbalimbali ambazo Samsung wataweza kuzitambulisha kwenye hiyo simu Kuanzia Samsung one UI Version na Android version ili kuendana na wakati kwa kupata full customization ya simu na Feature bila kusahau security.
Sasa Teknolojia kila miaka inazidi kubadili hivyo Samsung imefikia mwisho kutoa support kwenye hiyo simu Kuanzia kwenye kulinda kifaa Chako na kupata feature mbalimbali za kupendezesha simu kwaiyo wale wanaokwenda na Wakati wanaona sio simu nzuri ya kutumia ๐.
Ila kundi la bila Bora kutumia unaweza nunua hiyo simu kwa ajili ya kutumia kwa Matumizi ya kawaida ambayo hawana mambo mengi kazi yako kuangalia tu mtandaoni Kuna nini , kupiga simu nk.
Ila wale wapenzi wa Teknolojia na mambo Mengi kuhusu simu hawatakubali Tena kununua simu ya Samsung Galaxy S22 kwa kuwa imeshapitwa na wakati ๐.
Tumejaribu tu kusema jambo kwa kuwa Teknolojia ni Yetu sote ๐ซก