kuna madhara gani ya kutumia "soy beans"

The hammer

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,397
Reaction score
1,786
Naomba mnisaidie madhara ya kutumia maharage ya soya kwa watu wazima na watoto wadogo na namna ya kuondoa sumu kama ipo kwa kua nasikia maharage hayo yana sumu.....
 
Maharage ya soya ni yale Waswahili wanayoyaita "njugu mawe"

Sijawahi kusikia yana sumu, bali nilichosikia ni kuwa ni mazuri kwa kusafisha damu hasa kwa wajawazito
 
ni kweli ktk maharage hayo vipo viini visipothibitiwa hudhuru mwili wa mlaji hujulikana km anti nutritional factors mojawapo na maarufu ni ile iitwayo 'typsin inhubitors' ambayo vinapotumiwa huzuia protein isitumike mwilin mwa mlaji,salama ni kuhakikisha hizo anti nutritional factors zimeangamizwa kwa njia ya joto kwa kuchemsha au kukaanga. kwa ajili ya matokeo mazur, kabla ya kuyachemsha au kuyakaanga ni vyema kuyaloweka majini..soya ni muhumu mwilini kwani ina vitamini A, B complex, C, D, E, G, K na pia soya kg1 ni sawa na na protein ktk mayai 70, na pia kg1 ni sawa na protein ktk nyama kg3 hvyo watu wa asia hutumia maziwa ya soya kulisha watoto wadogo na wazee pia..source;kitabu{TUREJEE EDENI}
 
The hammer Kuna jamaa anaitwa JIM RUTZ (unaweza ku google ukitaka), yeye alikuwa na maoni haya kuhusu maharage ya soya:


Kila mtu anasema lake!
 

Suala la kuwa maharage yanazuwia baadhi ya nutrients kufyonzwa na damu, sio kwenye magarage ya soya pekee. Hilo ni kwa jamii ya maharage yote. Hivyo hivyo kwenye unywaji wa chai na chakula.

Inachotakiwa ni kuroweka maharage yako kwa muda na yale maji yaliyorowekewa kuyachuja, kabla ya kuyapika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…