A Andika Jina Member Joined Jan 28, 2013 Posts 43 Reaction score 3 Apr 25, 2013 #1 Wakuu wangu,mimi ninatembeza baiskeli na kazi zangu kedekede zinahusisha baiskeli.Je kuna madhara yeyote?Wenu, A Jina
Wakuu wangu,mimi ninatembeza baiskeli na kazi zangu kedekede zinahusisha baiskeli.Je kuna madhara yeyote?Wenu, A Jina