Kuna madhara kutia sukari katika maziwa?.

Kuna madhara kutia sukari katika maziwa?.

Masele Joe

Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
45
Reaction score
4
Kuna mtu aliwahi niambia kwamba ukiweka sukari katika maziwa (hasa maziwa fresh) hupoteza uhalisia na ubora(virutubisho) wake.Pia akasema hata mtu mwenye madonda ya tumbo anashauriwa asitie sukari kwenye maziwa.
Je, hili lina ukweli ndani yake?.
 
Inategemeana na ntu kwa sababu kama ana Minyoo basi akiweka sukari ndio ile minyoo itazidi kuwa active na kumtafuna vizuri
 
Back
Top Bottom